Mapenzi buana kizungumkuti kweli kweli!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
Mnaishi kama mke na mume ndani ya
Nyumba, mkianza kuchokana tu,
Basi kinanuka...Mara mmeachana kwa kashifa na dharau kibao, kwa kweli nyumba hizi zina mambo mengi sana,
Watu wanaishi kwa mazowea haswa
Waliobahatika kuzaa watoto wakubwa
Kuachana ni aibu..wanavumiliana Na
Wanaishi kimazowea ila wale wasiobahatika
Kupata watoto, wakichokana Tu
Au kikinuka Mara paaap wameachana
Ni hatari sana na kupotezeana muda Na
Wakati sometime bora uwe msela tu!!
 
Hakuna kupotezana muda mkuu kwani hukujua kuwa kunakichokana kunakuachana au kuna kufa mmoja


Iweje mtu aanze kusema umempotezea muda


Nafikiri atakayesema amepotezewa muda achapwe viboko


Yeh
 
Hakuna kupotezana muda mkuu kwani hukujua kuwa kunakichokana kunakuachana au kuna kufa mmoja


Iweje mtu aanze kusema umempotezea muda


Nafikiri atakayesema amepotezewa muda achapwe viboko


Yeh
Ni moja ya changamoto...kwenye maisha ya mwanadamu
Inabidi upambane nazo, kiubishi ubishi
Mkuu.
 
Haitasaidia sababu mwisho wa siku utahitaji mwenzio tu wa kukusaidia hata kukunywesha dawa pindi utakapokuwa unaumwa.

Au hata wa kukunyoosha mwili ukiwa na uchovu. Teh.
Hospital ntaenda mwenyewe, nikizidiwa
Wanangu wapo watanipeleka, mwili

Kunyooshwa naenda saloon kufanyiwa
Massage, nishaamua mkuu stak demu
Kama mbwai mbwai tu...
 
Hospital ntaenda mwenyewe, nikizidiwa
Wanangu wapo watanipeleka, mwili

Kunyooshwa naenda saloon kufanyiwa
Massage, nishaamua mkuu stak demu
Kama mbwai mbwai tu...
Kuna vitu kuandika ni rahisi ujue.

Haya bana na iwe hivyo ukiumwa wanao wawepo isitokee tu ukawa peke yako.

Pia kila la kheri safari yako ya usingle. Teh
 
Kuna vitu kuandika ni rahisi ujue.

Haya bana na iwe hivyo ukiumwa wanao wawepo isitokee tu ukawa peke yako.

Pia kila la kheri safari yako ya usingle. Teh
Mademu wanazingua tu, wanaweza
Kukuletea matatizo Kama si UTI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom