Natafuta Marafiki

yujinah

Member
Feb 20, 2018
11
7
Hello guys
Ombi langu kwa Mtanzania yyte aliefanikiwa kujiunga na chuo cha Antwerp Belgium tuwasiliane PM, anisaidie kujua mambo flan ili nikamilishe stage ya pili ya maombi yangu ya kujiunga na chuo hicho.
Thank you in advance
Kind regards
 
I Yujinah a female not a male. Nimeandika hapo juu aliepo Antwerp anitext inbox nami nitarespond.
 
Hello guys
Ombi langu kwa Mtanzania yyte aliefanikiwa kujiunga na chuo cha Antwerp Belgium tuwasiliane PM, anisaidie kujua mambo flan ili nikamilishe stage ya pili ya maombi yangu ya kujiunga na chuo hicho.
Thank you in advance
Kind regards
 
Hi there..

Welcome aboard.

I go by the name of Ngabu aka Head Nigga Incharge.

Nice to meet you!
 
Sisi wote hapa ni marafiki zako ukiuliza au kuhitaji ushaur tutanunua kama ulivyofanya
 
Sisi wote hapa ni marafiki zako ukiuliza au kuhitaji ushaur tutanunua kama ulivyofanya
Pouwa lakini wapo wengine wanaweza kuwa hawapendi uzi wangu ndio maana niliomba kibari. Maana ss binadam tunatofautiana mitazamo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom