Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu.
ni hivi....
95/% ya watumiaji wa JF wana elimu ya juu na maisha safi na kumiliki Nyumba na gari/magari na ni waajiriwa ktk wizara flani...
Wadau kuna jambo hapa,
Hivi ni sawa kuwa na mazoea na shemeji yako? Mke wa kaka yako au mdogo wake mke/mchumba?
Mazoea ya kwaida tu haimaanishi mazoea mengine, ila kuchati kushirikishana jambo...
Habari zenu,
Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa...
Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii...
Hasa weekends, unamkuta mkaka yuko mbele yako, akijnunua mafuta kama kuna kitu anatakiwa kutoa ndani ya gari akitoka nje unakuta amevaa pyajama.
Una haraka ya kwenda wapi mpaka utoke nje ya...
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....
Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke...
On my bed sina usingizi,najaribu kumkumbuka mpenzi wangu WA kwanza.nakumbuka first kiss.it was so good..nilikua kijana mdogo like 17..kijitonyama mida ya jioni,namsindikiza my girlfriend,kafika...
Mke wangu nguo anazo nyingi tu lakini hazivai. Yeye anavaa nguo zilizo chakaa tu. Mpaka anakosa mvuto. Ananifanya nichepuke sana. Ukimwambia ni mbishi mno.
Today on World Marriage Day it's good to read a post on Facebook by Michelle Barrack Obama every couple should read...
HARDCORE TRUTH ABOUT MARRIAGE!
1. There is nothing that threatens the...
Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.
Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na...
Naomba msaada wenu ndugu zangu.
Kwa uzoefu wenu wazazi wenzangu ni umri gani sahihi wa kumtenga mtoto alale peke yake maana nakwama kufanya mambo ya msingi kwa ufanisi.
Mikikimikiki kidogo tu...
Wadau habari za wakati huu?
Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza.
Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini, mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani...
Wana jamvi habar zenu.
Kuna dem nilikuwa nae miaka zaidi ya mitano ss juz nilimuacha kwakuwa nilikuta hirizi katka mkoba wake baada ya kumpekua alivyoeda kuoga.
Sasa akaniandikia meseji kuwa...
Wakati tunamalizia malizia siku ya wanawake duniani napenda kuwapongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao, watoto wao au...
Jaman wanaume wanene mtanisamehe kwakweli,
Ila kusema ukweli nikiambiwa nichague mzee mwenye miaka kuanzia 60-70 na kijana mnene yoyote kuanziaa miaka 30 na kuendeleaa bora ni chague mzeee,why...
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku...