Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilipoenda Tabora kumtembelea mdogo wangu, nilistaajabu kushuhudia ninayoyasimulia leo. Bwana mdogo kaanza karibuni maisha ya kujitegemea, kapanga chumba kimoja na sebule maeneo ya chemuchemu...
3 Reactions
111 Replies
14K Views
Inatokea unataka kuwa na mahusiano na mwanamke haijalishi umemuona wapi at first like face to face, mitandaon nk. Ukaomba contacts anaweza kukupa stupid reasons kuhusu kutoa namba yake but wakati...
8 Reactions
45 Replies
8K Views
Habari ya usiku mwingi.... Ni vyema ukikaa mbali nao utaepuka mengi yatayokuletea makwazo, sonono na upweke. Kaa mbali nao ....... 1. Wote wanaokwambia nakupenda pindi wanapokuwa wamekunywa...
13 Reactions
173 Replies
10K Views
Baada ya kauchunguzi kangu ka mabakta ya madada hapa kwetu ngoja nilete mrejesho a/ MATAKO MLEGEZO haya bana yanasadifiana na hilo neno 'MLEGEZO' yanakuwaga kama yapo kweny mapaja hivi. huwa...
1 Reactions
107 Replies
60K Views
wadada ukivuka miaka ya kuolewa,its predicted utachukua mtu sio wa saizi yako nilijua ni msemo tu wa mtaani,kumbe kweli, ni hivi.... tunapofanya mate selection,tunaexchange values... vipi kila...
19 Reactions
117 Replies
9K Views
Mida ya saa 17:00 jioni tarehe 16.03.2018 nikatimba katika jiji la starehe la Amsterdam uholanzi……..sikupoteza muda nikaenda zangu chinese restaraunt katikati ya jiji…… nikapiga zangu wali na...
7 Reactions
48 Replies
12K Views
Najua hapa nitakosana na watu kibaoo... lakini ndio kweli Kuwa na Mpenzi Mgane: labda mkewe awe amekufa miaka miiingi.. hapa naongelea wajane wakiume ambao wanaitwa wagane sio wa kike maana...
7 Reactions
18 Replies
4K Views
1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Haya maji ya pale chang'ombe sikupenda......, napenda ile kitu hennessy pale!
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu Nimejiuliza maswali meng na majibu yake ni magumu so Naweza nikasema ni KWELI kwa sababu mwanadam anatabia ya kumuomba mung akiwa na shida na anapopata tu...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Jamanii eeeh Kama mada inavyojieleza Sinaga uzoefu wa hizi sherehe za birthday na wala sinaga utaratibu wa kununua nua zawadi katika Maisha yangu,hivyo sijuagi zawadi za kununua katika aina hii...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Ukweli ni kwamba, Mungu kamuumba mwanamke ili awe Pambo na Tunda la mwanaume, aidha Mungu kampa mwanamke Papuchi si kwa lengo la kugeuza papuchi hiyo kuwa kitega uchumu bali ni kwa lengo la kuliwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanawake wako very strategic.Hata kama mna watoto 5 ukiteteleka kiucchumi tu kidogo anagive up na kuhamisha venue! Hawapotezi kitu.. Wanaume hupenda wanawake wabichi wabichi wenye umri mdogo...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Hamjambo wale wadogo zangu, wale wakubwa zako shikamooni! Nachukua huu muda na sekunde hii kuwataarifu (hasa wale wapenzi wa simulizi na hadithi kali za mapenzi na kwichikwichi) Leo usiku...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Jumatatu ya wiki iliyopita majira ya saa saba usiku mapolisi watatu wa kiume walipigwa na changudoa mmoja pale nje club ya Ambiance. Nilifurahi sana kwa kweli wale askari walibamizwa chini baadae...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Nina mvulana ambaye natarajia awe mume wangu. Uhusiano wetu una miezi nane sasa na tunaweka mambo sawa ili tuishi pamoja. Miezi hii miwili amekuwa Na tatizo, akikaribia climax anapoteza fahamu na...
4 Reactions
111 Replies
11K Views
NDO MAISHA TUNAYOISHI BINADAMU NI VIGUMU KUYAELEWA 1. Mwanaume anapokuwa na gari huvutia wanawake wengi ila mwanamke anapokuwa na gari huogopwa na wanaume wengi, ndo dunia tunayoishi. 2. Mtoto...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina mpenzi wa karibu miaka 10, anaishi mkoani na tuna mtoto mmoja. Shida yake ni kiburi, haonyeshi kuwapenda ndugu zangu kwa sababu ambazo anazielewa yeye. Nimebahatika...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mm naitwa blandina nilishawai kuandika status yangu nikiwa natafuta Mme sikuwa natania nilikuwa serious ila nimepitia sms za wengi wanafanya jok sana siyo kila mtu anae andika anatafuta Mme au...
16 Reactions
38 Replies
5K Views
Baba yake mdogo(marehemu)alizaa na mke wa mtu miaka kadhaa iliyopita, penzi limekolea akina shangazi wamemjia juu kijana wanamwambia hawezi kuoa dada yake hata kama si wa halali,binti anafanana...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom