married material
New Member
- Mar 15, 2018
- 2
- 2
NDO MAISHA TUNAYOISHI BINADAMU NI VIGUMU KUYAELEWA
1. Mwanaume anapokuwa na gari huvutia wanawake wengi ila mwanamke anapokuwa na gari huogopwa na wanaume wengi, ndo dunia tunayoishi.
2. Mtoto wa kiume humpa mimba binti ila binti anafukuzwa shule ila wa kiume anabaki, ndo dunia tunayoishi.
3. Mwanaume anamfumania mpenziwe na mwanaume mwingine na kumpiga mpenziwe ila mwanamke akimfumania mpenziwe na mwanamke mwingine anampiga mwanamke mwenzie, ndo dunia tunayoishi.
4. Mwanamme umri unavozidi kwenda ndo ana nafasi kubwa ya kupata mwanamke wa kuoa ila mwanamke umri unavoongezeka ndo nafasi ya kuolewa inapungua, ndo dunia tunayoishi.
5. Mwanaume wa miaka 70 anaweza oa binti wa miaka 25 ila mwanamke wa miaka 35 anachukuliwa kuwa ana umri mkubwa sana hawezi kuolewa, ndo dunia tunayoishi.
6. Mwanaume anampa talaka mkewe leo keshokutwa anapata mchumba baada ya miezi sita anaoa ila mwanamke aliyepewa talaka anabaki bila mume kwa miaka sita, ndo dunia tunayoishi.
7. Mume anafumaniwa na mwanamke mwingine kitandani, mkewe anaombwa msamaha na maisha yanaendelea ila mume ana mfumania mwanamke na mwanaume mwingine kitandani anamfukuza mkewe nyumbani, ndo dunia tunayoishi.
8. Mume anahamishiwa kikazi mkoa mwingine anahamishwa na familia yake na mkewe ila mke anahamishiwa mkoa mwingine anahama peke yake na kuamuliwa na mume aache kazi, ndo dunia tunayoishi.
9. Mwanamme akipanda cheo ofisini anaambiwa kajituma kazini ana haki ya kupanda, ila mwanamke akipanda cheo ata kama ofisi ina wanawake pekee ataambiwa kalala na wakubwa ndo maana kapandishwa, ndo dunia tunayoishi.
HUU NI UKWELI AMBAO WENGI HAMPENDI KUUSIKIA
Usinichukie