Vijue visa mbalimbali vya wasichana wa sasa

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Inatokea unataka kuwa na mahusiano na mwanamke haijalishi umemuona wapi at first like face to face, mitandaon nk. Ukaomba contacts anaweza kukupa stupid reasons kuhusu kutoa namba yake but wakati mwingine ukikaza anakupatia but anakupa na masharti like usimsumbue anamtu wake nk.

Basi unaanza nae maongezi mnachat lakini majibu yake ni kama vile unamlazimisha kujibu basi unakomaa kutengeneza ukaribu lakini kila siku wewe ndo unakuwa wa kwanza kumchek na ukisema utulie na yeye anatulia.

Tatizo linakuja pale yeye anapokuwa na shida zake binafsi ndo wewe sasa anakupa kipaumbele kama naomba nisaidie elfu kumi nimekwama tafadhali au yaani leo niko hovyo sina kitu kabisa please can you help me out?

Kuna mwingine unaweza kumsaidia pesa tena hata bila kukuomba akajifanya yuko inluv na wewe lakini kumbe anatake advantage of u, utakuta anamtu wake ambae anampenda sana ila kumuomba omba hela hawezi sasa anakutumia wewe kama ATM na wewe ulivyokuwa mjinga unatoa tu.

Sasa inatokea siku yupo na huyo anaempenda wewe kila ukipiga simu hapokei kila ukipiga hapokei ameweka silence au anapokea ana mute anajifanya anaongea na mtu mwingne mfano ndugu yake. Then baadae anakuja na lame excuses like simu ilikuwa kwenye poch, nilipitiwa na usingizi, simu ilikua charge sijaisikia.

Unaamua kupotezea na wakati mwingine unampenda kwa dhati kiasi kwamba u can catch granade for her but kumbe yeye anakufanya chuma ulete she doesnt give a damn about u.

Unajiuliza maswali mengi majibu hakuna na kuna wasichana wengine wenyewe sex kwao sio kitu, unasex nae muda wowote akijisikia ila wala sio wapenzi ila anapenda mambo yako tu kampani kwenye kunywa ku have fun na kadhalika mnalewa mnasex kila mtu kwao.

Na kuna wale wasichana waliozalishwa wana mtoto na wanaishi kwao kwa wazazi, hawa hujifanyaga wametendwa na wanaume wakazalishwa wakakimbiwa, sasa hawa ni special case, hawa ndo wepesi kuwapata mpaka basi.

Yaani ukijifanya unampenda yeye na mtoto wake tu vizawadi zawadi kwa mtoto na ukiongea nae kwenye simu ukimuulizia mtoto wake au ukiomba uongee nae basi unajiongelesha ujinga ujinga kwa mtoto basi yeye anakupa credit utasikia yani anatupenda mimi na mwanangu kuliko hata baba wa mtoto, hawa huvuliwa chupi na watu tofauti kwasababu hawajifunzi na wanasahau mapema wanatamani sana kuolewa na kuepuka usingle mother, sasa hawajui nani yupo real nani yupo feki.

Alafu kuna wale wasichana ambao hawatambulishiki, yaani ukimtambulisha kwa rafiki yako tu basi ujue kesho anaenda mwenyewe na anamegwa kama kawa na anazoea marafiki zako ghafla as if yeye ndo amekutambulisha wewe wanatamani tamani watu bila kufikiria na wanavuliwa chupi sana na hawajistukii wakija kustuka basi washatembea na kila mtu ndo wanaanza kujipunguza.

Kuna wale wanaotaka picha nzuri hawa mara nyingi wana ndoto za kuwa na umaarufu haijalishi ni umaarufu gani na wapi iwe mitandaoni, mitaani, mijini, kwenye ma bar nk, hawa maisha yao ni kupiga picha na kupost.

Siku hizi wanaphoto shoot zile picha nzuri hawa wanaringa lakini hela hawana na wanatamani maisha mazuri sasa ukiwa na gari la kuazima na simu nzuri yenye camera basi unamvua chupi.

Yeye shida yake picha kwenye gari na pozi kibao na status za kibabe like diva ninini sijui about yesterday nk, mnazijua status zao basi hawa ukiwa na visent kidogo na gari basi wenyewe ndo wanakuwa ma navigator wanatafuta location na wanapenda kutambiana wenyewe kwa wenyewe.

Nitaendelea...
 
teheeee ...ngoja waje ..lakini binafsi katika vitu ambavyo vimenishinda nikuwasiliana na mtoto wakike kisha akawa haonyeshi kurespond jinsi navyo mtreat. ..yaani kumtafuta mpka nianze mie"" nikipiga simu hapokei on time "" na akikuta missed cal "" hanitafuti mpka nianze tena kumtafuta mie "" nikituma text ana reply shotly"" ...aiseee huwa naweza kuuvumilia ujinga huo ndani ya siku 2 tu ....
baada ya hapo kila mtu afnye mambo YAKE "" mkuu
 
Kisa kibaya kuzidi yote ni kupita mbele yetu hawajavaa ch*pi

FB_IMG_1521440690631.jpg
 
KUNA MMOJA YEYE NAMFAHAMU ILA HANHFAHAMU, NI MREMBO KWAO MAMBO GOOD

BAHAT NZURI NKACHUKUA NAMBA YAKE FB

NIKAMTAFUTA MASWALI YAKAWA MENG.. WE NAN, WA WAPI, UMEPATA NAMBA YANGU WAPI.

BAADA YA HAPO IKAWA ANAJBU KWA TABU, AKALETA MKWARA NTAKUBLOCK.. NIKAWA MPOLE WIKI NZMA SJAMTAFUTA.

WIKI INAYOFATA AKANCHEK WASAP.. MAMBO, ZA KUPOTEA.. MI KHA!

NIKAWA NAJBU KAMA STAK.. NKAMWAMBIA NTUMIE PICHA.. OH SINA PICHA.. MARA ZILIFUTKA, NKAPO DOLE.. THEN NKATULIA.. NKAMPOTEZEA.

BAADA YA DAKIKA 5 AKASHUSHA MKEKA MREFU WA PICHA HAD ZILE AMBAZO NI NYETI.. DAH, DADA ZETU MNA VITUKO.

NINACHOKUMBUKA HUYU DADA SJAWAH MWAMBIA NINAMPENDA ILA NIMESEX NAYE MARA NYINGI

DADA ZETU WANA POZ SANA, HAWATAK KUONEKANA WEPESI HVYO DAWA YAO NI KUWA BANDIDU NA KUTOMSHOBOKEA
 
"nimesex nae mara nyingi"umepimaa lakin Mkuu?
 
teheeee ...ngoja waje ..lakini binafsi katika vitu ambavyo vimenishinda nikuwasiliana na mtoto wakike kisha akawa haonyeshi kurespond jinsi navyo mtreat. ..yaani kumtafuta mpka nianze mie"" nikipiga simu hapokei on time "" na akikuta missed cal "" hanitafuti mpka nianze tena kumtafuta mie "" nikituma text ana reply shotly"" ...aiseee huwa naweza kuuvumilia ujinga huo ndani ya siku 2 tu ....
baada ya hapo kila mtu afnye mambo YAKE "" mkuu
Thats it. Haina haja ya kulazimisha. Kama anakupitisha kushoto. Na ww mpitishe kushoto
 
Inatokea unataka kuwa na mahusiano na mwanamke haijalishi umemuona wapi at first like face to face, mitandaon nk. Ukaomba contacts anaweza kukupa stupid reasons kuhusu kutoa namba yake but wakati mwingine ukikaza anakupatia but anakupa na masharti like usimsumbue anamtu wake nk.

Basi unaanza nae maongezi mnachat lakini majibu yake ni kama vile unamlazimisha kujibu basi unakomaa kutengeneza ukaribu lakini kila siku wewe ndo unakuwa wa kwanza kumchek na ukisema utulie na yeye anatulia.

Tatizo linakuja pale yeye anapokuwa na shida zake binafsi ndo wewe sasa anakupa kipaumbele kama naomba nisaidie elfu kumi nimekwama tafadhali au yaani leo niko hovyo sina kitu kabisa please can you help me out?

Kuna mwingine unaweza kumsaidia pesa tena hata bila kukuomba akajifanya yuko inluv na wewe lakini kumbe anatake advantage of u, utakuta anamtu wake ambae anampenda sana ila kumuomba omba hela hawezi sasa anakutumia wewe kama ATM na wewe ulivyokuwa mjinga unatoa tu.

Sasa inatokea siku yupo na huyo anaempenda wewe kila ukipiga simu hapokei kila ukipiga hapokei ameweka silence au anapokea ana mute anajifanya anaongea na mtu mwingne mfano ndugu yake. Then baadae anakuja na lame excuses like simu ilikuwa kwenye poch, nilipitiwa na usingizi, simu ilikua charge sijaisikia.

Unaamua kupotezea na wakati mwingine unampenda kwa dhati kiasi kwamba u can catch granade for her but kumbe yeye anakufanya chuma ulete she doesnt give a damn about u.

Unajiuliza maswali mengi majibu hakuna na kuna wasichana wengine wenyewe sex kwao sio kitu, unasex nae muda wowote akijisikia ila wala sio wapenzi ila anapenda mambo yako tu kampani kwenye kunywa ku have fun na kadhalika mnalewa mnasex kila mtu kwao.

Na kuna wale wasichana waliozalishwa wana mtoto na wanaishi kwao kwa wazazi, hawa hujifanyaga wametendwa na wanaume wakazalishwa wakakimbiwa, sasa hawa ni special case, hawa ndo wepesi kuwapata mpaka basi.

Yaani ukijifanya unampenda yeye na mtoto wake tu vizawadi zawadi kwa mtoto na ukiongea nae kwenye simu ukimuulizia mtoto wake au ukiomba uongee nae basi unajiongelesha ujinga ujinga kwa mtoto basi yeye anakupa credit utasikia yani anatupenda mimi na mwanangu kuliko hata baba wa mtoto, hawa huvuliwa chupi na watu tofauti kwasababu hawajifunzi na wanasahau mapema wanatamani sana kuolewa na kuepuka usingle mother, sasa hawajui nani yupo real nani yupo feki.

Alafu kuna wale wasichana ambao hawatambulishiki, yaani ukimtambulisha kwa rafiki yako tu basi ujue kesho anaenda mwenyewe na anamegwa kama kawa na anazoea marafiki zako ghafla as if yeye ndo amekutambulisha wewe wanatamani tamani watu bila kufikiria na wanavuliwa chupi sana na hawajistukii wakija kustuka basi washatembea na kila mtu ndo wanaanza kujipunguza.

Kuna wale wanaotaka picha nzuri hawa mara nyingi wana ndoto za kuwa na umaarufu haijalishi ni umaarufu gani na wapi iwe mitandaoni, mitaani, mijini, kwenye ma bar nk, hawa maisha yao ni kupiga picha na kupost.

Siku hizi wanaphoto shoot zile picha nzuri hawa wanaringa lakini hela hawana na wanatamani maisha mazuri sasa ukiwa na gari la kuazima na simu nzuri yenye camera basi unamvua chupi.

Yeye shida yake picha kwenye gari na pozi kibao na status za kibabe like diva ninini sijui about yesterday nk, mnazijua status zao basi hawa ukiwa na visent kidogo na gari basi wenyewe ndo wanakuwa ma navigator wanatafuta location na wanapenda kutambiana wenyewe kwa wenyewe.

Nitaendelea...
Haaa kweli kila mtu na fani yake. Umalaya wangu wote lakin sijweza kifanya utafiti kama huu. Saluti kwako kiongo umestudy vizuri hiyo kitu. Saluti kwako
 
Back
Top Bottom