Naenda kwenye Birthday party ya mtoto sijui hata zawadi ya kubeba

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Jamanii eeeh

Kama mada inavyojieleza

Sinaga uzoefu wa hizi sherehe za birthday na wala sinaga utaratibu wa kununua nua zawadi katika Maisha yangu,hivyo sijuagi zawadi za kununua katika aina hii ya sherehe

Wale watu wa Dar mnijuze zawadi yoyote ninayoweza kununua nikampelekea yule mtoto

Manake nipo kazini nkapigiwa simu ghafla na babake kunipa mwaliko

Mnijuze kabla sijafika kwenye hiyo sherehe.

N.B Vyuma vimekaza na leo ni tar 19 so nitajieni zawadi zenye affordable price
 
Huku kwetu birthday ya mtoto wanaalikwa watoto wenzie,kama una mtoto nyumbani anaalikwa then unamnunulia kizawadi kidogo tu cha kitoto toto(saa ya kitoto, games,n.k)then unampeleka kwenye biryhday.sasa wewe mtu mzima umealikwa sherehe ya mtoto!?au huyo mtoto bado hata mwaka mmoja hajatimiza?
 
Jamanii eeeh

Kama mada inavyojieleza

Sinaga uzoefu wa hizi sherehe za birthday na wala sinaga utaratibu wa kununua nua zawadi katika Maisha yangu,hivyo sijuagi zawadi za kununua katika aina hii ya sherehe

Wale watu wa Dar mnijuze zawadi yoyote ninayoweza kununua nikampelekea yule mtoto

Manake nipo kazini nkapigiwa simu ghafla na babake kunipa mwaliko

Mnijuze kabla sijafika kwenye hiyo sherehe.

N.B Vyuma vimekaza na leo ni tar 19 so nitajieni zawadi zenye affordable price
Mnunulie hata kigari cha kuchezea tu. Usijipe stress
 
Watu wa mkoani hamna watoto au huwa hamfanyii watoto wenu birthday party?! Kama hujui zawadi ya kununua peleka pesa.
 
Jamanii eeeh

Kama mada inavyojieleza

Sinaga uzoefu wa hizi sherehe za birthday na wala sinaga utaratibu wa kununua nua zawadi katika Maisha yangu,hivyo sijuagi zawadi za kununua katika aina hii ya sherehe

Wale watu wa Dar mnijuze zawadi yoyote ninayoweza kununua nikampelekea yule mtoto

Manake nipo kazini nkapigiwa simu ghafla na babake kunipa mwaliko

Mnijuze kabla sijafika kwenye hiyo sherehe.

N.B Vyuma vimekaza na leo ni tar 19 so nitajieni zawadi zenye affordable price
Birthday ya mtoto wewe mtu mzima unafuata nini? Au hujui ni watoto ndio wanapaswa kuwepo na mtoto mwenzao?
 
Back
Top Bottom