Kabaunyeri
Member
- Apr 5, 2012
- 38
- 36
Habari wakuu,
Nina mpenzi wa karibu miaka 10, anaishi mkoani na tuna mtoto mmoja. Shida yake ni kiburi, haonyeshi kuwapenda ndugu zangu kwa sababu ambazo anazielewa yeye.
Nimebahatika kufahamiana na binti mwingine kwa zaidi ya mwaka sasa, na anaonekana ana heshima na msikivu. Shida yake ni familia yao kwani wazazi wake walitengana na kuna hizo family conflicts.
Yupi anafaa kuwa mke?