Anataka kuoa bao la nje la baba yake mdogo

Jan-uary

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
1,050
Reaction score
1,144
Baba yake mdogo(marehemu)alizaa na mke wa mtu miaka kadhaa iliyopita, penzi limekolea akina shangazi wamemjia juu kijana wanamwambia hawezi kuoa dada yake hata kama si wa halali,binti anafanana sana na hao shangazi ukiwaona wala huulizi, akina aunt wameweka ngumu, kijana yupo katika wakati mgumu anasema kama noma na iwe noma, hayuko tayari kuachana na mkewe mtarajiwa, ushauri wenu kwa hawa watu tafadhali.
 
Mtoto wa baba mdogo unaoa tu na hasa huyo wa waache zengwe kijana ajichukulie mzigo.
 
Baba yake mdogo(marehemu)alizaa na mke wa mtu miaka kadhaa iliyopita, penzi limekolea akina shangazi wamemjia juu kijana wanamwambia hawezi kuoa dada yake hata kama si wa halali,binti anafanana sana na hao shangazi ukiwaona wala huulizi, akina aunt wameweka ngumu, kijana yupo katika wakati mgumu anasema kama noma na iwe noma, hayuko tayari kuachana na mkewe mtarajiwa, ushauri wenu kwa hawa watu tafadhali.
Anaweza kumuoa ni haki yake kabisa...sijaona sababu ya kumgomea hapo
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
Kikosea kwenye jambo fulani sio vibaya ila ubaya ni pale unapojua umekosea lakini unaendelea kukosea kwenye lilelile kosa. Kijana awe msikivu na Atubu haraka.
 
Hakuna shida hapo manake shimo baya ni la nyoka tuuuu ye apige kazi kazin
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
ahahaaa haaaaa daaahh aisee
akili yko sijui imewaza nini ...naona upo sokoni k.koo au tandika ??
 
wamuache tu dogo ajilie vyake ..sasa ksma papuchi kesha Ionia mnooo tu mpka ameshaijua ilivyo ...
so wanachokataza asimuoe nikipi ..ndio Sikh nyingine wajifunze vyema kuwa ndugu wanapaswa kujuana ingali bado wadogo
 
Mtoto wa Baba mdogo ni sawa kuoa huyo ni Binamu yake na kuoa Binamu ni sawa hakuna tatizo hapo
Kijana fanya kweli
 
Back
Top Bottom