Ukipata mtu wa kuoa au kuolewa naye unakuwa na raha sana .
Pale ikiwa hujawahi kumfahamu tabia yake.
Pale kuja kumfahamu ni mpaka uanze kumfuatilia.
Kwanini asilimia za wanaume ndio wanafumwa...
Huyu rafiki ni kati ya wale wachache niliokua nao mtaa mmoja. Hizi familia zetu za ki Africa, wazazi wake unawaonav kama wazazi wako na birthdays mlikunywa soda pamoja.
Huyu bwana aliogopewa kwa...
Habari za jumapili wapendwa....ni tumaini langu mpo salama salmini na wale wenye matatizo ya kiafya basi Mungu awafanyie wepesi....
Niende moja kwa moja kwenye mada bila ya kupoteza muda...
Kwenye ile ishu ya condom nilipewa cku tatu na wife nikamilisaha masharti yake matatu, 1- niusalimishe mchepuko wangu alioupa kisago kwny kitchen party uje umuombe msamaha .... 2- anataka majibu...
1Natalie Dylan aliuza usichana wake kwa , 3.7 million dollar ili asome degree yake ya uzamili au masters
2.Raffaela ficco , 2009. Big brother italy alikuwa mshiriki, 1.8 million dollars,
3. Gracie...
Mpo,
Hatari sana, yani unavyopendwa na Mzungu unayasahau yafuatayo;
1. Kupigwa vibomu vya kila siku.
2. Kelele zinapungua sana, yani hakuna kubishana.
3. Alafu wasafi sana, kuanzia kinywa, mwili...
Ni muda sasa imesikika wanaume wakiwa wanalalama juu ya wanawake kuwapiga mizinga mizito hadi kushindwa kihimili lakini kuna tatizo pande zote kati ya wanawake na wanaume.
Wanaume kumbukeni unapo...
Habari za humu ndani,
Baada ya kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani ambayo kwa upande wangu sijaona wanawake wenyewe wakishiriki kikamilifu.
Sasa tuendelee na harakati za maisha kama kawa...
Good afternoon wa Tz.
Naamini sote tumetoka na kupitia mbali katika safari yetu ya mapenzi na uhusiano, katika safari hiyo kuna changamoto nyingi sana visa na mikasa isiyo na sababu zingine zina...
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari...
Kila tunapogombana na mke wangu mara nyingi anakimbilia kwa watu wa nje hasa marafiki, ndugu na wazazi hiyo ni kama mimi nimeharibu big time lakini kama yeye ameharibu huwa nakomaa naye hata watu...
Hellow watu wa Jamii F, poleni na stress za maisha na weekend angalau inaanza vyema kujipanga tena upya.
Kuna jambo nahitaji kuwashirikisha wana harakati wa jamii F.
Leo ni siku ya Ijumaa tena...
Habari wana JamiiForums, natumai mu wazima wa afya,
Kilio changu ni kwa hawa mabinti wa kilokole wa siku hizi wengi mimi kwa mtazamo wangu naona kama wanaigiza tu.
Maana wengi wao wana mambo...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri...
Kama ukivaa kiatu kinachokupwaya, kaa tayari kuboreka,
kuwa 'disappointed' na kuwa 'frustrated' katika maisha yako, na kama ukivaa kiatu kinachokubana basi kuwa tayari kuugulia maumivu ya mguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.