KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI*
*1. Tamaa ya utajiri*
fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi...
Kulikuwa na familia ya kitajiri ya Mr & Mrs Rupert, walikuwa ni matajiri waliotingisha Dunia wenye mali zilizofikia dola billion 62 ukijumuisha viwanja vya ndege binafsi na makampuni karibu kote...
1) Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha
Haya mambo ya tutaonana tu mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake...
Mi sio kama Gudume kila siku kubadilisha mademu mimi ni kama Mshana Jr tu kamoyo kangu kuna Kiumbe umeshaanza kumdondokea humu jf soon Natangaza nia.
Stay tuned kwa Update yeyote kutoka sasa...
Hili suala linatesa sana haswa kwa wenzangu wanaopenda mitoko ya usiku,kama huna gari manzi wako anaondoka na mwenye gari tatizo nini wanawake? je gari ndio linaonesha status ya mtu kitaani? kwetu...
Miaka 7 imekaribia kufikia September 28 siku ilikua ni ya Jumanne. Nikiwa ndani na siku moja kabla nikiwa nimepambwa mwenyewe.
Nilipendeza kwa kweli japo kiroho kilikua kinadunda vibaya mno...
Kwamba " ukitaka kujua kuishi vizuri na Mkeo au Mpenzi wako siku moja jaribu kwenda kupiga Chabo Loji au Gesti uone wenye Wake zao na Wapenzi wao wanavyofanywa / wanavyofanyiwa ".
Nimemsikia Mama...
Umekuwa katika mahusiano naye kwa muda mrefu hivyo bila shaka unamjua vilivyo! Pengine mpo ndani ya ndoa kabisa au mahusiano tu ambayo mnaishi pamoja kwa ukaribu sana.
Sasa kwa kawaida lazima...
Aisee kuna kipindi Kwenye uhusiano inafika Unajikutaa umemchokaa sana Girl wako na hunaa hisia nae Kabisa.. Sema unakuwa unaendelea nae sababu Unamuonea huruma vile anakupenda sanaa na...
Ninashindwa kuelewa ni kwanini sasa hivi kuna kauli za baadhi ya wanandoa kusema eti wameoana naona hiki ndio chanzo cha kuporomoka maadili ya jamii.
Katika dini zote na mila zote ninazofahamu...
Miaka michache hapo nyuma niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja tatizo lake alikuwa muoga sana ilipofika hatua ya mimi kutaka kushika simu yake hatukudumu sana nikaona ukakasi nikaachana...
Habari wapendwa,
Sina maneno mengi zaidi, naomba msaada wenu wa mawazo katika hili.
Kuna binti nilikuwa nae kimapenzi sasa kuna kipindi alinikalia kimya na nilipofuatilia nini tatizo niligundua...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza sms za mpenzi wangu zimefumaniwa na mchumba wangu kipindi nimeacha Simu ndani nimeshindwa jinsi ya kujitetea kabisa ivi ameondoka kaenda kwao na...
Hivi karibuni kumekua na wimbi la watekaji, nina rafiki yangu alipotelewa na mke akafanya juhudi zote za kumtafuta.
Siku ya kwanza alimpigia simu yake ikawa inaita tu bila mfanikio.
Siku ya...
Habari wana jamvi,
Kuna tatizo la wanawake kusingiziwa magogo kitandani hii ni kwa kuwa hawajawa matured enough sababu zingine si sana.
Wanawake wengi huwa wanakomaa (maturity) kati yamiaka...
Habari,wakuu kuna dada mmoja nimempenda huwa mara nyingi tumekuwa tukionana mara kwa mara katika mizunguko yangu , jana nimechukua namba yake ya simu, ila nashindwa kumpanga tuweze kukutana tena...
Mimi ni mmoja ya wanaume ambao nina marafik weng wakike kutokana na shughuli zangu ninazofanya..
So muda mwingi napata story zao na tunashare ideas na mambo mengi kuhusu love life?
Kuna...
Halo asubuhi ikoje huko,?
Naelekea kwenye mada moja kwa moja,
Najua hakuna binadamu aliyekamilika,
Kila mtu ana mapungufu yAke
Mwenzangu ana mapungufu haya
1. Mkikorofishana ananuna siku nzima...
Naomba kuelimishwa.
Je ni sahihi mtu wa kawaida kua na uhusiano wa kimapenzi na mbilikimo?
Mfano, mtu wa kawaida kama 6 feet tall anaweza kumuoa mbilikimo? Je size ya maumbile yao yataendana...
habari yenu.
mi nimeliona hili karibu sehemu nyingi nkaona nlitue hapa..
kwanini wadada au wamama wengi wanajisahau na kuwa wazembe katika uangalizi wa miili yao?ni kuridhika na maisha au?
hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.