KIUNGOMCHEZESHAJI
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 120
- 255
Miaka michache hapo nyuma niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja tatizo lake alikuwa muoga sana ilipofika hatua ya mimi kutaka kushika simu yake hatukudumu sana nikaona ukakasi nikaachana naye.
Sasa hivi majuzi kuna dada mwingine nimefahamiana naye tuko kwenye mahusiano na wala hatujadate kabisa, ila tumeozeana tuu na utani wa hapa na pale japo naona dalili za huyu mwanamke kunitaka.
Leo aliniomba nimfanyie setting flani kwenye simu yake, inaonekana amebadili simu zoezi lenyewe lilikuwa la muda mfupi, ila mimi nikazuga kujifanya inachukua muda nikiwa na lengo la kudukua sms zake na whatsaap.
Alipoona inachelewa akaondoka akasema anaenda dukani mara moja waaaaoh, nikasema hapa hapa nikazama whatsaap, ooooooooh unaweza ukazimia kama hujazoea haya mambo.
Kuna magroup ya whatsaap ya akina mama, mambo ya beauty, mengine biashara, mengine mambo ya ndoa kilichoniacha hoi ni group moja ambalo wanawajadili wanaume aiseeeee, wanawachambua kama karanga, wanatukana wanaume, mbaya zaidi na yeye akaweka post humo humo kuchamba wanaume.
Daaaah, jasho lilinitoka nikarudi nikaenda chats za mtu mmoja mmoja, majanga, anatumiana video na picha za xx na watu zaidi ya watano, hapo ni recent posts tuu wanawasiliana yaani ni hatari kila mmoja wanajadili appointment, wanajadili ufundi wa kunako 6 kwa 6. hakuna tafsida.
Alafu yuko na pete ya ndoa mkononi, nikajaribu kufikiria kama mume wake angekuwa anaona haya yanayofanyika sijui nini kingetokea wanaume tujikaze tuu, ukimchunguza bata hutamla.
Angalizo, wale wenye kisukari na magonjwa ya pressure, kaa mbali na simu ya mke wako Nnajua kuna wachache ambao ni waaaminifu wanaweza kupeana hata simu na wakaishi kwa amani, ila kundi kubwa tuko hatarini