Hii habari ya kuoana inatoka wapi?

Hii habari ya kuoana inatoka wapi?

mkighare

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
396
Reaction score
271
Ninashindwa kuelewa ni kwanini sasa hivi kuna kauli za baadhi ya wanandoa kusema eti wameoana naona hiki ndio chanzo cha kuporomoka maadili ya jamii.

Katika dini zote na mila zote ninazofahamu kila kijana akioa anatamkiwa leo na kuozesha fulani binti fulani muende mkaishi kama mke na mume, hii ni kwa mujibu wa mila zote za watanzania, dini ya kiisilamu na kikiristo.

Ukifika nyumbani mtu anakuambia tumeoana hivyo wewe huniambii kitu huwezi kuamua lolote mpaka nakubali.

Huku kuoana kumetoka wapi?
 
Ninashindwa kuelewa ni kwanini sasa hivi kuna kauli za baadhi ya wana ndoa kusema eti wameoana naona hiki ndio chanzo chakuporomoka maadili yajamii
Katika dini zote na mila zote ninazofahamu kila kijana akioa anatamkiwa leo nanakuozesha fulani binti fulani muende mkaishi kama mke na mume hii ni kwa mujibu wa mila zote za watanzania ,dini ya Kiisilamu na kikiristo ukifika nyumbani mtu anakuambia tumeoana hivyo wewe huniambii kitu huwezi kuamua lolote mpaka nakubali huku kuoana kumetoka wapi?
hata mimi nashangaa. Mahari imetoka upande mmoja tu lkn mtu anataka kujiona naye yumo!
 
Back
Top Bottom