Kwanini wanawake wanapenda sana wanaume wenye magari?

Kwanini wanawake wanapenda sana wanaume wenye magari?

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,900
Hili suala linatesa sana haswa kwa wenzangu wanaopenda mitoko ya usiku,kama huna gari manzi wako anaondoka na mwenye gari tatizo nini wanawake? je gari ndio linaonesha status ya mtu kitaani? kwetu ukiwa na kitoyota warembo wote wako hata kama una gari but pesa huna wanajileta hahaha Girls Girls Girls...am

Still whipin in Bajajis and Daladala tho am serving for the ndinga hah
 
Hili suala linatesa Sana haswa kwa wenzangu wanaopenda mitoko ya Usiku,kama huna gari...Manzi Wako anaondoka na Mwenye gari..tatizo nini wanawake??je gari ndio linaonesha status ya mtu??kitaani kwetu ukiwa na kitoyota..warembo wote Wako..hata kama Una gari but pesa huna..wanajileta..hahaha Girls Girls Girls...am




still whipin in Bajajis and Daladala.tho am serving for the ndinga..hah
Na wanawake wenye magari nao wako hivyo hivyo?
 
Back
Top Bottom