BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,995
Habari wapendwa,
Sina maneno mengi zaidi, naomba msaada wenu wa mawazo katika hili.
Kuna binti nilikuwa nae kimapenzi sasa kuna kipindi alinikalia kimya na nilipofuatilia nini tatizo niligundua ana mtu mwingine.
Sasa kipindi kimepita kidogo juzi kati kanitafuta anajifanya karudi kwangu sasa anajitetea sana ila mimi naona nitakua zoba kama nitamrudia tena moyoni kwangu maana moyo wangu unanisuta kwanini nimrudie hali ya kuwa alinikimbia.
Je, nifanye nini?