Simulizi ya kusisimua Part 1-(Revolution woman)

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
473
Reaction score
1,188
Kulikuwa na familia ya kitajiri ya Mr & Mrs Rupert, walikuwa ni matajiri waliotingisha Dunia wenye mali zilizofikia dola billion 62 ukijumuisha viwanja vya ndege binafsi na makampuni karibu kote duniani na hoteli za kifahari.

Mr & Mrs Rupert walibahatika kupata mtoto mmoja tu ambaye wa kiume na walimpa jina la jackson ila Mr Rupert alikuwa akitamani kupata mtoto mwengine na hivyo kutafuta madaktari bingwa duniani watakaoweza kumpatia matibabu au madawa yoyote mkewe apate mtoto wa pili ila kwa bahati mbaya yale madawa yakamsababishia mkewe uvimbe kwnye kizazi na kupelekwa kwenye upasuaji na kuambiwa atoweza kubeba tena mimba.

Mtoto wao jackson walimlea kama yai kwani ndo alikuwa mtoto wa pekee kwao.

Mr & Mrs Rupert waliwatafuta walimu mashuhuri wa uchumi duniani na mmoja wao alitoka india kuja nyumban kwa akina Mr & Mrs Rupert kumfundisha mtoto wao jackson masomo ya uchumi wakiwa na ndoto kuwa mtoto wao aje kuwa mfanyabiashara kma walivyo wao.

Walimu wanne ghali duniani walikuja nyumbani kwa akina jackson wakipokelewa vizuri na wahudumu kwenye jumba hilo la kifahar na mwisho akatokea Mrs rupert akiwa na jackson sebulen na kuwatambulisha mtoto wao ambaye wanatakiwa wamfundishe masomo ya uchumi na wote walishangaa kwani mtoto alikuwa bado mdogo, mtundu na ajapata Elimu ya awali ila Mrs Rupert akawaambia nyie ndio mtakao mfundisha Elimu ya awali ata kama ni maprofessa na mtalipwa hela yyote mtakayo...wote wakatabasamu waliposikia watalipwa hela yyte watakayotaka na kusema tupo tayar kuanza kazi.

Masomo yalianza usiku na mchana, baadhi ya maprofessa walikuwa na uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja na wakawa wanamfundisha lugha hzo.

maprofessa walikuwa wanalipwa vizur zaidi ya zile sehemu zao za kazi mpaka kutamani uyo mtoto wamfundishe milele sababu ya pesa.

Maprofessa walimfundisha yule mtoto kwa zaidi ya miaka 20 na Jackson kuwa vizuri kuwahi kutokea katika maswala ya uchumi na mwisho mkataba wa wale walimu ukawa umeisha na kufanyika sherehe ya kupongezana na jackson kuwaaga walimu wake uku machozi yakimtoka kwani alikuwa kwao kma baba zake au wajomba.

Jackson alifanya kazi kwenye makampuni ya wazazi wake uku akiwa anaishi nao nyumbani pia.

Makampuni yakaanza kuongezeka mtaji kutokana na uwezo wa jackson na kuwekeza viwanda vingi mnoo nchini kwao na kufikia uchumi mkubwa wa taifa hilo kutegemea makampuni ya Mr & Mrs Rupert

Mr & Mrs Rupert wakamwambia mtoto wao atafute mwanamke wa kuoa kwani wazazi wake walikuwa wanatamani mtoto wao aoe.

Walimuandama kila anaporudi kutoka kazini kuwa ushapata mwanamke. Wazazi wakawa wanataka kupata mkwe.

Kesho yake asubhi alipoamka jackson na kwenda mezani kunywa chai akamuona house girl analeta baadhi ya vitu mezani vya chai akamuuliza una muda gani unafanya kazi umu kwani jumba hilo la kifahar kulikuwa na wafanyakazi lukuki ni ngumu kwa jackson kukumbuka wote ndipo yule dada akasema toka zaman nafanya umu.

Jackson alivutiwa na yule house girl na kuanza kumtongoza pole pole na mwisho akalala naye umo umo ndani siku ambayo wazazi wake walisafiri.

Ndipo wazazi waliporud na Jackson akawaambia wazazi wake kuwa amepata mwanamke,wote walifurahi kusikia hivyo..ndipo mama akauliza enhee ni mtoto wa kiongozi gani au tajiri gani mwanangu umempata...jackson akapata kigugumizi alivyosikia wazazi wameuliza hvyo...baba ake akakazia na kusema mbona hujibu my son..Jackson akachukia simu ya mezani akapiga jikoni na kumuita yule house girl aliye lala naye.

Yule mdada akaja pale sebuleni ndipo mama akasema jackson hatuna njaa mwanangu tutakula baadae kwani alifikiri yule dada amekuja ili amwambie alete chakula ndipo jackson akasema uyu ndiye chaguo langu.
Mama akanyayuka kwa hasira akasema sitaki kusikia huo upuuzi, na wewe mwanamke(house girl) achana na mwanangu la sivyo ntakumaliza...baba mtu akasema jackson we una akili ya biashara na akili ya kuchagua mke hauna na tutaifanya sisi wazazi kwa niaba yako.

Usiku wa manane, Mrs rupert aliamka na kwenda chumba cha yule dada (house girl) akamwambia funga kilichokuwa chako unaondoka usiku huu yule dada kwa uoga akafunga begi aliloweka nguo haraka haraka na kutolewa nje msobe msobe na Mrs rupert akamkabidhi kwa mlinzi na kumwambia amtoe uyo dada nje ya geti.

Akatolewa msobe msobe hadi nje ya geti uku mvua ikinyesha...akaanza kuondoka uku akiwa na mawazo kuwa anakwenda wapi kwani ni muda mrefu tangu atoke nyumban baada ya mama yake kufariki akifukiwa na kifusi cha taka taka dampo kwan yeye na mama yake yalikuwa ni maisha yao kuzurula dampo kuokota vitu ili wapate vihela vya kujikimu.

Alirudi hadi dampo akakutana na marafiki wa mama yake wa kipindi kile wakampa hifadhi kwenye viroba uku mvua inapiga....akaanza maisha upya ya kipindi kile cha kuzurula dampo.

Baada ya muda akaanza kusikia kichefu chefu kumbe alikuwa kashapewa mimba na jackson siku ile waliyo lala pamoja.

Nyumban kwa Mr & Mrs Rupert wakawa wamemtafutia Jackson mwanamke ambaye ni mtoto wa Raisi mstaafu wa ufaransa na jackson akamkubali kishingo upande kwani aliambiwa kuwa yule house girl alitoroka usiku wa manane na Jackson pia alikuwa hataki kwenda kinyume na mapenz ya wazazi wake hvyo ilibidi akubali ndoa na mwanamke uyo mpya.....

Ndoa ya kifahari ilifanyika ufaransa viongoz na matajiri wakubwa walifika na baada ya harusi kuisha wazazi wakamuaga Jackson kuwa wanarudi nyumban kwa private jet usiku huo huo ndipo jackson akawakumbatia wazazi wake na kuwatakia safari njema.

Asubuhi yake Jackson akiwa bado ufaransa alishtushwa na hodi ya mlango wakati akiwa na mke wake, alipofungua mlango akamuona mtu kasimama na akampa simu ndipo jackson kupokea kuweka simu sikioni na kuambiwa kuwa wazazi wake wamepata ajali na wote wamefariki........itaendelea
 
Duuh usichelewe kuleta muendelezo wake mkuu, hao wazazi wa jackson ni balaa, unitag kwenye muendelezo boss!!
 
nimeipenda sana unarusha saa ngapi ili niwe on tention
 
Hii hadithi itakua nzuri Kama itaishia hapa but ikiendelea itapoteza mvuto
 
Back
Top Bottom