Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari yenu. mi nimeliona hili karibu sehemu nyingi nkaona nlitue hapa.. kwanini wadada au wamama wengi wanajisahau na kuwa wazembe katika uangalizi wa miili yao?ni kuridhika na maisha au? hata...
2 Reactions
80 Replies
8K Views
Hebu fikiria Dunia bila wanawake/ mabinti ingekuwaje? Magereza yasingekuwepo. Wengi waliopo jela wamwfungwa sababu ya kuwaridhisha wanawake zao kifedha. Kuna walioiba, waliopora, waliotapeli...
2 Reactions
65 Replies
4K Views
Week kesho naenda dar kutokea singapore, Nina Toto la kibrazili, nataka weekend jumamosi tule raha hapo dar es salaam, Je ni eneo gani ntaweza.kupata huduma hizi 1. Sehem classic ya kupata lunch...
3 Reactions
92 Replies
9K Views
Hapo vip!! Nimekaa sana nikafikiri na kujiuliza na kufanya research juu Ya tuhuma za udhaifu dhidi Ya wanaume mahandsome na pretty girls lakini ukweli ni kwamba ni wivu kwa wanawake wabaya na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu jamani, Naandika haya nikisikitika sana nakosa namna ya kufanya. Nampenda sana na wala siwezi kumsaliti. Anaweza akamaliza hata wiki ananiangalia tu, usiku ukifika navua tunalala...
7 Reactions
176 Replies
17K Views
habarini wanajamvi huu ndio uanaume ila co uanaume wa dar.
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Wakuu, Huku pande za Ubungo Kibangu nilikohamia tangu mwaka jana mwishoni kuna binti mmoja jirani yetu ni kama Miss wa mtaa. Ni binti modo mwenye sura na umbo jembamba kama Frida Amani yule wa...
4 Reactions
77 Replies
10K Views
Inakuwaje unapasua simu ya mpenzi wako au mme au mke?kisa tu imeingia sms au simu imepigwa umeona haieleweki ,kisha unapatwa hasira unachukua kile kifaa cha mazungumzo unapasua,kwamba ni wivu sana...
8 Reactions
176 Replies
13K Views
Nawasalimu wadau humu ndani, Nikiri kabisa mimi si mtu wa kuonja onja kila mwanamke nivutiwae nae, hivyo tabia hii imenipelekea kugegeda idadi ndogo mno tena mno ya wanawake kwa sababu hiyo sasa...
3 Reactions
117 Replies
28K Views
Habari wana jf natafuta rafiki ambaye amesoma I. T vizuri especially kwenye mambo ya software kuna mambo nataka anielekeze, so kama una ujuzi huo ni pm
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi Adam na Hawa(Eva) baada ya kutambua kama wamekua mke na mume Adam alimlipia mahari Hawa. Na kama alilipa alimlipa nani. Na kama hakulipa Je utaratibu wa kulipa mahari ulitoka wapi?
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Sehemu nyingi za Tanzania especiallly Dar es Salaam nimeona sana hii kitu, wakinamama wanauza vipande vya mihogo mibichi, vipande vya nazi na pakti ya karanga mbichi, pale maskani yangu Temeke...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nimeona tu bora nifungue uzi huu. Najua kila mtu ana maisha yake ,misimamo anayoisimamia na Imani yake. Lakini tuje kwenye hili swala la Single parenthood na jinsi kasi ilivyokua...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nina miaka 50 natafuta mke wakuoa , nina watoto wawili nilio zaa na Mzungu. Sifa zinazo hitajika 1 awe mtu mzima zaidi ya miaka 35 2 Akiwa alishazaa au bado hakuna tatizo 3 Asiwe tegezi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za jioni waungwana. Leo mchana nilitoka kwenda ofisi flani hivi, ni eneo la kutembea kwa miguu, nikiwa kwenye hiyo ofisi hamadi nikakutana na huyu mbaba. .... tulifahamiana miaka hiyoo...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Amani ya Bwana iwe kwenu wakuu? Wakuu,nimeshaharibu huko tayari,kuna binti nimemjaza mimba,so sioni kama itakua ni jambo la busara kuingia mitini na kumuacha solemba,nimedhamiria huyu binti ndio...
3 Reactions
63 Replies
9K Views
matumaini yangu woote wazima.Nimejitokeza kwenu naitaji mwenza[mke] kwa majina naitwa steven nipo songea umri wangu miaka 24 elimu yangu ni ya kidato cha nne najishughulisha na ufundi wa magari...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hali za ndoa Kuna kijana wa Bukoba buganguzi alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom