Habari,wakuu kuna dada mmoja nimempenda huwa mara nyingi tumekuwa tukionana mara kwa mara katika mizunguko yangu , jana nimechukua namba yake ya simu, ila nashindwa kumpanga tuweze kukutana tena mara ya pili naomba msaada nitumie njia gani au nimwambie maneno gani ili hawezi kunikubalia na hasiwi na mawazo negative