Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Mimi ni mwanaume wa miaka 25, elimu nina shahada ya biashara, kazi mwajiriwa, nina nyumba nimejenga, kazi ya uhakika, nitamtunza, kumjali na kumpa mahitaji ya msingi kama mke, ninatafuta...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Halafu Ajali zikizidi mnalalamika kumbe ' nuksi ' mmeianza wenyewe. Jamani hivi sasa kumeibuka Wimbi la Watu kupenda kufanya mapenzi / kungonoka hovyo ndani ya Magari yao. Na maeneo makubwa ni...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Very very sorry kwa hili tatizo LA kiumeni - KUJAMBISHWA. Kuna wanaume wanaishi kwenye mateso makubwa na sidhani kama hii kitu ina tiba.. Yaani ni kama vile mate yanavyokujaa mdomoni mtu akila...
4 Reactions
28 Replies
7K Views
Salama wakuu ninatafuta mwanamke yoyote aliyeko serious kutoka mkoa wa Mwanza kwa ajili ya urafiki na mambo mengine yatafata. Kuhusu mimi Mkirsto miaka 27 Elimu Bachelor Degree Nimeajiliwa na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa ufupi sana ni kwamba mke mtarajiwa na ambaye yuko very serious kwa ajili ya kuanzisha uhusiano na baadaye kuoana, ninamuhitaji sana tena sana. Kwa upande wa sifa anazotakiwa kuwa nazo ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana. Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku...
1 Reactions
175 Replies
13K Views
http://jukwaalaafya.ml/2018/03/24/tatizo-la-mwanamke-kutokwa-na-damu-nyingi-au-mfululizo-wakati-wa-hedhimenorrhgia/
0 Reactions
0 Replies
3K Views
http://jukwaalaafya.ml/2018/03/13/yajue-mazoezi-rafiki-kwa-nguvu-za-kiume/
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Ku cheat sio lazma umvulie nguo kabisa mwanaume au mwanamke mwingine ama uende na lodge kusex nae hapana. Cheating huanza pale ambapo tu utatoa/kuomba namba ya simu kwa mtu kisha kuanza mazoea ya...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
wanaume wanaoongoza kula papuchi bila shida ni mameneja wa Bar. Kuna dada mmmoja niko nae karibu anafanya kazi bar anasema kabla ya kuajiriwa meneja anakuonja kwanza halafu ndo kazi inaanza...
4 Reactions
137 Replies
16K Views
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi. Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha...
13 Reactions
94 Replies
5K Views
Habari za jioni wana JF. Niende moja kwa moja kwenye habari apo juu,nakumbuka mwezi wa saba 2017 nilipata nafasi ya kwenda CHUO CHA VETA Babati ,Manyara. Hapo chuoni niliazisha mahusiano na...
7 Reactions
106 Replies
11K Views
Mtu umempenda lakini unashindwa kumwambia why? Ni inferiority complexity au huwa ni nini?? Cha ajabu wanaume nao siku hizi wamekuwa kama watoto wa kike, akishampenda binti badala ya kufunguka ya...
10 Reactions
78 Replies
9K Views
Nina miaka 7 katika ndoa niliyofunga na mwanaume niliye naye na tumejaaliwa kupata watoto 2 na umri wangu ni miaka 37 sasa. Lakini kuna ndoto imekuwa ikinijia kwa miaka 3 mfululizo , ya kwamba...
4 Reactions
163 Replies
12K Views
Kuna kampeni nyingi kupinga tohara kwa wanamwake. Vita ni kali na maelezo mengi. Mojawapo ni kwamba eti hawajisikii raha ktk ngono. Naomba mujitokeze na kujieleza. Kweli raha hampati? MMoja...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanaume walitokea sayari ya Mars na sisi tulitoka Venus. Wote tumejikuta hapa duniani tena tumeambiwa hapa tutaishi kwa muda lakini inabidi wote tuishi kwa amani. Wanaume wana Ego, hiki ni kitu...
5 Reactions
71 Replies
7K Views
Mhadhiri Mwandamizi katika chuo kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dkt Peter Wangwe, amesema upo uwezekano wa mwanamke kupata mimba ya watoto mapacha kutoka kwa baba wawili tofauti...
9 Reactions
30 Replies
13K Views
Nina maswali mawili kwa members mnaoanzishaga threads za kutafuta partiners(boyfriends) 1. Kwanini swala la umri mnawekaga mkubwa mno mostly 30+? 2 . Mnapata hao boyfriends kweli? Sent using...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii forum kwanza nawasalimu wote popote mlipo... Huku imani yangu ikiambia hamjambo. Basi kwa pamoja wanawake kwa wanaume members wa jamiiforum naomba munisaidie njia za kumpata...
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Umewahi kufikiria faida zinazopatikana kwa kumkumbatia mkeo mkiwa mmelala? Famasia yako ya Ndoa Maridhawa inakuletea faida 6 za kukumbatiana kitandani: 1. HUPUNGUZA SHINIKIZO LA KISAIKOLOJIA...
19 Reactions
124 Replies
23K Views
Back
Top Bottom