Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

❤ _ Coffee.Code.Sleep.Repeat _ 712
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za usiku nyote, Nimekutana na hiki kisa mahali na kwa chumvi niliyokula hapa duniani nimeshuhudia mahali mahali. Hii ni habari ya kweli kabisa; Mschana Nasra ni binti pekee kwenye...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu Habari zenu, Wakuu naomba ushauri kwenye hili huyu mwanamke aliniambia ananipenda ila Mimi baada ya kupitiwa na fyekeo la wale darasa la saba huyu mwanamke niliokuwa nae kwenye mahusiano...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Kwanini tunasema kosea kujenga sio kuoa tuna maana moja tu sisi waungwana maana ukikokosea kujenga unaweza kubomoa na haitakuchukua muda mrefu kujenga tena lakini ukikosea kuoa itakuchua muda...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Namnukuu R.Mugabe. Mwanaume mwenye hela na tajiri bao moja chali na analala. Mwanaume mwenye ajira nzuri mabao mawili analala zake Ambaye kasoma hana kazi na hajaajiriwa matatu tu analala zake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"Wanaume tuna matatizo mengi lakini hatuyasemi ,hatuyazungumzi bayana imefikia hatua tuyatoe manung'uniko yetu:- Juma (mwanaume wa Dar) " Nimejenga nyumba kwa fedha zangu kwasababu nafanya kazi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
wadau nashukuru maana ule msemo wa wahenga kuwa "msiba wa wengi ni sherehe " umeendelea kunifariji. dada zangu wapendwa... "mchuma janga hula na wa kwao" sasa kwa nini wewe upate janga lako uende...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Ni mpenz wangu tuliyedumu kwa miaka minne,tuliachana baada ya yeye kufika chuo mwaka Wa pili kila mtu akaendelea na maisha yake baada ya makubaliano ya wote wawili japo .. mwanzoni niliumia...
9 Reactions
80 Replies
8K Views
Me: Hellow niambie Mr. Christopher Chris: bro naomba unisaidie huyu mwanamke me nitamuua humu ndani. Me: kwani kuna tatizo gani limetokea asubuhi yote hii bro. Chris: si huyu mpuuzi ( Anitha )...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Mama ni Mungu wa pili na nguzo muhimu duniani, ndio maana kuna msemo usemao "hakuna kama mama". Wengi wetu tumelelewa na mama na kupewa mahitaji yote na mama zetu mpaka kufika hapa. Badala ya...
17 Reactions
71 Replies
7K Views
KUMSALITI MKEO haimaanishi eti ndo HUMPENDI! • Hapana hii ni kama kukodi TAXI [emoji595] & wakati una GARI yako NYUMBANI! • Hii INAKUSAIDIA kuokoa MATAILI yasiharibike haraka na hata GARI...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Swali Fyatu: Picha za kina mama wanaodai wametelezwa wao na watoto wait na wazazi wenzao zinatudokeza Nini? A. Tuna tatizo la kina mama na mabinti Kutoka na kuzaa na wanaume wasioweza kuwa baba...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Swali hatimaye nimeona laweza kuwa mada. Nimelitoa huko ndani ndani yaani kupenda unapenda pale unapotaka wewe au inatokea umependa tuu? Wakubwa fungukeni huenda tukapata kisomo.
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mungu alimuumba Adamu Dhamira yake ilikuwa njema na ya kumpendeza na akaona ampe msaidizi Hawa.... Kusudi wapate kusaidiana majukumu Ya kila siku. Tatizo la haki sawa ndo chanzo cha haya yote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu! Kama. Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Siku hizi wanaume wengi. Wamekuwa. Wakilalamika kuwa wanawake. Wa siku hizi. Wana matatizo sana, Tofauti. na Wazamani...
12 Reactions
84 Replies
18K Views
Juzi jumamosi nimekutana na mrembo katika harakati za kusaka pesa ya kula samaki, nikamtamani ghafla nikajaribu kumchekesha kidogo mwishowe nikanyakua namba yake ya simu, mawasiliano yakawa mazuri...
7 Reactions
72 Replies
7K Views
Hii ni kwa kinadada wote...ukiona kuanzia j.3 ya terehe 9 mumeo au boyfriend wako au mchumba wako yuko busy na simu na hajatulia kiakili, jua kabisa *kuna mwanamke ameshafika ofisi za Makonda...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mapenzi Haya jamani acheni yaitwe mapenzi, miaka kumi na Tatu iliopita nilikuwa na Mpenzi wangu ambae kutokana na sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wangu nilipoteza mawasiliano yake kutokana na yy...
15 Reactions
102 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…