Maulid alikuwa mfanyakazi Serikalini. Alifukuzwa kazi kwa kuwa na vyeti vya kughushi.
Tangu afukuzwe kazi ni miaka miwili sasa imepita.
Maisha yake ni magumu mno kwani hakupata chochote. Mtaani...
Yametokea huku kwetu Kwamtogole dada alikuwa na child hood sweetheart toka wako primary school wanatoka mikoa ya mpakani kuleee wanaodaiwa kuonesha uraia na uhamiaji kila uchao.
Baada ya kumaliza...
Mara nyingi sana na imezoeleleka kuwa pale kijana anapopata mchumba wa dini tofauti ni lazima mmoja abadilishe dini ili amfuate mwenzake, lakini je kwanini anabadilisha dini?
KWANINI UBADILISHE...
Kuna mwanamke ni odo(ma mdogo) yangu siku mbili nyuma kabla sijapost hii aligombana na mtoto wa mumewe ambaye ni mtu mzima na ana mke wake ila wanaishi nyumba moja wote. ambayo nyumba hiyo...
Shost tuliachana long time, tumekutana mjini na tunasali kanisa moja ninamuita shost sikuhizi tu, shuleni walikuwa wale ma A star majibu ya mtihani yakitoka nikiwa ninafurahia C shost...
Siku hizi kumekua na michango ya mara kwa mara ya watu wanaotaka kuoa. Watu hawa waweza kua marafiki tuliosoma nao au wafanyakazi wenzetu katika sehemu tunapotafutia ridhki.
Mfano hai kuna watu...
Nilikuta mjadala mkubwa mahali fulani watu wakijadili tukio ambalo ikitokea msichana akabakwa na kusababishiwa ujauzito, lakini mwisho wa siku mtoto akafanikiwa kuwa Rais wa nchi, na akamtunza...
Habari WanaJF,
Kuna hii tabia unamkuta mama kubwa kabisa ana wajukuu lakini bado na yeye anakomaa kuzaa, imagine unaitwa bibi na bado unataka kuzaa.
Je ni umri gani mwanamke akifika si busara...
Habari wakuu,
Nimesikia leo asubuhi taarifa CloudsFM kuna kijana wa miaka 29 alizaliwa akiwa na kisimi kilichorefuka wazazi wake wakafikiri ni uume na walimlea kama mwanaume kumbe yeye kiuhalisia...
Ukigundua binti yako was miaka 12-16 ameshaanza kujihusisha na mapenzi na kuna wanaume/vivulana vimeanza kumpa vizawadi.
Una uwezo wa kumhudumia na hii inakusumbua sana, utachukua uamuzi gani?
Familia ya Juma ya watoto 5 Amos[14], Boaz [12], Charlie[10], Daudi[7] na Esther[3] [sio majina yao], walikuja leo kuniona toka kijijini.
Wazazi walikua wanalala chumba kimoja na watoto walipokua...
Kuna zile ndoa unakuta mwanaume ana watoto wawili au watatu na anaishi mwenyewe aidha kwa kufiwa au kuachana.
Ni changamoto gani mlipitia? Mlipeana muda kwa watoto kuzoea mahusiano yenu kabla...
Hebu leo fungukeni humu uzuri wa ndoa sio kila siku ni negatives tu kuhusu ndoa. Je unafurahia ndoa yako? What do you do to spice up your marriage life?
Kuna kitu gani ni dhahiri kabisa...
Jamani naomba mnisaidie, inawezekanaje binti ambaye umempa ujauzito ghafla anabadirika hataki kukuona Kabisa ni kweli nakuwa mhusika wa hiyo mimba au nakuwa nimebambikwa tu
Salam wakuu,
Naomba kushauriwa kidogo.
Nimekua kwenye mahusiano na binti huyu kwa kipindi cha karibia miaka mitatu na tulipanga kama Mungu angetujalia tungekuja oana, bahati nzuri mwenzangu...
MARRIED WOMEN AND MEN ONLY: Try your best to maintain the following schedule in your married life:
(1)between 3am-6am when kids are fast asleep sex your husband (when you see his pen*s all hard...
Jamani,mimi nina boyfriend wangu ambae alikua ananipa habari za jamiiforum.Nilikua siujui mtandao huu lakini toka tumefahamiana mara nyingi huwa namuona yupo bize jf.
Alikua akinipa breaking news...
Hakika dunia tambarabovu!Anasimulia dada mmoja maksio miaka 40 hivi. Ujue kaka (Jimmy) si jina halisi. Mimi nilipomaliza shule tu sikubahatika kuendelea na shule. Nikawa na mahusiano na kijana...
A man can travel for eight hours 'just to have sex with a female friend and yet, not love her.
Sex makes men act as if they are in love.
The eight hours travel sacrifice, gifts bought, hotel paid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.