Akizalishwa watoto na mume hana uwezo huoni kuwa mzigo unaweza kuku rudia wewe?Kwa kweli nikimjua huyo mwanaume ni kwenda kuongea na wazaz wenzangu maana hao watoto wameshakuwa watu wazima tayari. Hakuna kitu kibaya kama binti kuleta mimba ndani ya familia. Ni aibu kubwa saaaaaaana, kwa kweli mimi nitatamani aondoke nyumbani kwangu, aende kwa huyo mwanaume tu.
Mbona unauliza maswali ambayo yanaumiza moyo? Mimi bado sijazaa, unanifanya nizidi kutotamani kuwa na binti ktk familia yangu.Akizalishwa watoto na mume hana uwezo jioni kuwa mzigo unaweza kuku rudia wewe?
Hapa kuna mchanganyiko wa culture, kwa wenzetu ni kitu cha kawaida ila kwa maadili ya Kitanzania si sahihi. Inategemea mtoto wao walimlea katika maadili gani.Mzee alishangaa baada ya kuona matokeo ila ni muhimu pia ajiulize mtoto walimlea kwenye maadili gani.Jirani yangu mzee wa Kichagga alioa mzungu, walipata watoto wa tatu wa kike. Kipindi hicho ndiyo watoto wako kwenye 12-17. Siku moja mzee anakwenda kutengeneza kahawa jikoni kama saa 11:00 alfajiri alikutana na kijana amevaa boxer anatoka chooni. Mzee alitaka kuua, mama yuko upande wa mabinti wanamshangaa mzee.
Ndiyo maana leo nimeona tulijadili hili swala hapa
Jirani yangu mzee wa Kichagga alioa mzungu, walipata watoto wa tatu wa kike. Kipindi hicho ndiyo watoto wako kwenye 12-17. Siku moja mzee anakwenda kutengeneza kahawa jikoni kama saa 11:00 alfajiri alikutana na kijana amevaa boxer anatoka chooni. Mzee alitaka kuua, mama yuko upande wa mabinti wanamshangaa mzee.
Ndiyo maana leo nimeona tulijadili hili swala hapa