Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
948
Reaction score
548
Kuna mwanamke ni odo(ma mdogo) yangu siku mbili nyuma kabla sijapost hii aligombana na mtoto wa mumewe ambaye ni mtu mzima na ana mke wake ila wanaishi nyumba moja wote. ambayo nyumba hiyo anaishi odo yangu na mume wake pamoja na mtoto wa mume wa odo yangu na mkewe.
baada ya odo yangu kugombana na mtoto wa mumewe kisa mtoto wa mumewe alimwambia kuwa amevunjiwa mlango na hapo nyumban huwa anabaki odo yangu tu hiyo ndio sababu ugomvi ukaanza hapo.
usiku akamuambia mume wake kuwa mtoto wa mume wake ni mkorofi kwahiyo awezi kuishi naye pamoja kwahiyo akaamua kumwambia mumewe achague kati ya mtoto wake au yeye mmoja aondoke na kabla ya hiyo siku nyuma waligombana na huyo mtoto wa mume mpaka kufikia kupigana na mwisho pia alitaka huyo mtoto afukuzwe ila huyo kijana hakufukuzwa na hatimaye huyo kijana akapata mtoto wa kike na akaamua kujipendekeza na kuamua mtoto kumuita jina la odo yangu ila haija saidia ugomvi hauishi.
je huy odo yupo sahihi kwa maamuzi hayo wakati huyo mtoto ndio ana stahili kurithi hiyo nyumba?
 
Naweza kukosa hadi utamu wa pilau kwa kusoma huu uzi...
Nimerudia mara 2 sielewi bora nikapumzike kwanza ntarudi baadae
 
Sasa huyo jamaa paka anaoa na kupata mtoto bado tu amekaa kwa baba,huyo mtoto wa kiume ndo anapaswa kuondoka

*odo kiluga gani hiki mkuu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom