Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na...
habari za jumapili all MMU
moja kwa moja tuangalie tabia za wanawake baadhi wanaokuwa wameanza kuzipata hela kwa mara ya kwanza.
1)urembo: akipata hela siku ya kwanza iwe kwa boyfrnd au kapata...
Habari wana MMU
Kuna jambo linanitatiza sijui mwisho wetu,nahitaji mawazo,ushauri kadhaa toka kwenu wana great thinker
Nilikutana na msichana mmoja mwaka 2011,nikamtongoza na tukaingia kwenye...
Natafuta mwanamke ambae Mungu akipenda aje kua mke wangu
Sifa
1.Awe na uhitaji wa kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa
2.umri 20-27yrs
3.Asiwe na watoto
4.Awe mkristo
Sifa zangu
1.Mkristo...
Cku hizi wanawake wote wanajitahid kuwavutia kwa kujiremba na kujipamba ili kuwa impress nyie wanaume..
Lakin wanaume waaaap kutwa kucha kutafuta wanawake wenye makalio makubwa, maziwa mazuri...
Mwanamuziki wa bongo fleva Ali Kiba, mapema leo akiwa na Ommy Dimpoz, amemtembelea Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kumtaarifu kwamba anatarajia kuoa hivi karibuni.
"Namshukuru Ali Kiba kuja...
Zamani nilizani haya mambo watu wanajiongelea tu, kwamba hayana maana wala uhusiano.
Nikawa najua ni mambo ya waganga wa tiba za kienyeji au tiba mbadala wakijaribu kubashiri tu na hayana...
Habari wanajamvi,
-Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.
-Mfanyabiashara
Natafuta mwanamke wa kuishi nae na kuniletea watoto duniani.
Ninapenda sana watoto.
Mwanamke awe na utayari wa kua...
Wanasema A good lier should have a good memory.. yaan ukiwa muonge basi unatakiwa uwe na kumbukumbu nzuri..
Binafsi sipendi mtu muongo muongo especially kwenye mahusiano..
Hakuna point yoyote ya...
Habari wakuu,
Nimefanya utafiti mdogo kwenye haya maswala yetu nyeti ya kimahusiano, nimegundua wanawake wengi wasiokuwa na mvuto sana(wenye mwonekano mbaya)mara nyingi huwa ni watamu sana kwenye...
Binafsi sipendi uvivu wake kitandani. Yaani ukishamkojoza yeye kitandani akisharidhika basi hanikumbuki tena na mchezo wenyewe unaweza kuishia hapo hapo kama haujakazia.
Kingne kunifatilia mambo...
Je kunauhusiano Kati ya USAFI ule wa kupitiliza na Roho mbaya ama ubinafsi. Binafsi naona watu wengi wasafi kupita kiasi hawashirikiani vizur na watu wengine....
(simaanishi usafi wa kawaida wa...
Habari za weekend na usiku huu,
Leo nimeshinda vizuri sana na jioni yangu imeisha vyema. Mida ya mchana nikawa nawasiliana na mahalat wangu, basi nikawa namlalamikia vile namkosa na kazi huku...
Habari! Hili ni maswali kwa wanandoa,
1. je mkeo/mumeo anatakiwa kurudi muda gani nyumbani, hasa akiwa hana kazi, hii namaanisha anapotoka kufanya au kushiriki shughuli za kijamii kama...
Kama ilivyoada Kwa baadhi ya makabila mtoto wa kiume anapooa wanaweka shuka jeupe kuona baada ya tendo kama mtoto wao hajaoa kibaka, ili mchezo ukimalizika wakague nashuka kama alikuwa na usichana...
Hbari wana JF,
Kuna dada ananipenda sana,anataka nimuoe ila binafsi sina hata hisia naye kabisa na nimeshamwambia ukweli kuwa mm nina mchumba tayari ambaye soon tutafunga ndoa,ila bado hanielewi...
Habarini wakuu..
Mimi naombeni ushauri na msaada. Katika historia yangu ya mapenzi nimeisha wahi kuwa na mahusiano na wasichana wengi sana lakini kati yao sikuwahi kumfikiria hata mmoja kuwa...
Hey habari za muda,
Poleni kwa wanaofumania na wanaofumaniwa pia,
Naomba kupata ushauri hapa kwa wale ambao wameoa na kuoelewa ndoa inapokuwa mpya ya miez 2-12 nini hasa cha kufanya ili baadae...
Leo nimepata kumbukumbu hii nikabaki kucheka
Nakumbuka niko kidato cha tatu enzi hizo boarding school, shule imepamba moto tunakaribia mitihani ya muhula then kichwa changu kikiwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.