Quigeza
Member
- Jun 5, 2017
- 8
- 23
Jamani,mimi nina boyfriend wangu ambae alikua ananipa habari za jamiiforum.Nilikua siujui mtandao huu lakini toka tumefahamiana mara nyingi huwa namuona yupo bize jf.
Alikua akinipa breaking news mbali mbali akisema amezitoa humu,nilivutiwa na mimi kujiunga mwaka jana.
Cha ajabu alikua ataki nichungulie anafanya nini akiwa jf,sasa hii tabia imeshamiri mpaka sasa akiniona mimi analog out.Na hii ndio sababu na mimi sijamwambia kuwa nimejiunga.
Je kwa nini anafanya siri sana mambo yake akiwa jf.Akiwa kwenye social network nyingine huwa ananiachia simu yake nashika.Na hata mambo yake mengi ya siri huwa ananiambia,lakini hili la jf anafanya siri sana sielewi kwa nini.