mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Nilikuta mjadala mkubwa mahali fulani watu wakijadili tukio ambalo ikitokea msichana akabakwa na kusababishiwa ujauzito, lakini mwisho wa siku mtoto akafanikiwa kuwa Rais wa nchi, na akamtunza vizuri mama yake, je mwisho wa siku huyo mwanamke atamshukuru mbakaji wake kwa kusababisha kupata mtoto ambaye ni Rais? Karibuni wanajamvi mtoe hisia zenu , hasa wanawake.