vanilla
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 448
- 360
Hebu leo fungukeni humu uzuri wa ndoa sio kila siku ni negatives tu kuhusu ndoa. Je unafurahia ndoa yako? What do you do to spice up your marriage life?
Kuna kitu gani ni dhahiri kabisa umekipata ama umejifunza (kizuri) baada ya kuingia kwenye Ndoa?
Lets be positive today tuwatoe uoga wale wanaoamini na kugeneralise kwamba ndoa ndoano.