Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Mara nyingi sana na imezoeleleka kuwa pale kijana anapopata mchumba wa dini tofauti ni lazima mmoja abadilishe dini ili amfuate mwenzake, lakini je kwanini anabadilisha dini?
KWANINI UBADILISHE DINI?
1)Kwa sababu ya mchumba?
2)Kwa sababu umeujua ukweli?
KWANINI UBADILISHE DINI?
1)Kwa sababu ya mchumba?
2)Kwa sababu umeujua ukweli?