Utafanyaje mkeo akikuletea dili la kubeba dawa za kulevya?

Utafanyaje mkeo akikuletea dili la kubeba dawa za kulevya?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,674
Maulid alikuwa mfanyakazi Serikalini. Alifukuzwa kazi kwa kuwa na vyeti vya kughushi.

Tangu afukuzwe kazi ni miaka miwili sasa imepita.
Maisha yake ni magumu mno kwani hakupata chochote. Mtaani anadaiwa hadi chumvi, hamna wa kumuamini wala wa kumpa dili. Akikopa hana uwezo wa kurejesha.

Mkewe, amekuwa ni mvumilivu kwa kipindi chote hicho kigumu. Usiku wa leo mkewe kaja akiwa na uso wa bashasha na tabasamu pana. Mume akawa na shauku ya kujua nini chanzo cha furaha ya mkewe!!!!

Mke anafunguka, anamwambia yule mwarabu wa mjini ana kazi, anatafuta mtu wa kumbebea mzigo wake. Naomba uende ukabebe mzigo familia yetu iinuke tena.

Je, ungekuwa ndio Maulid wewe ungefanyaje?
 
Huyo mke ana tamaa za kijinga na jamaa awe mwangalifu kwa mkewe..warabu si watu wazuri hadi kumwambia mwanamke kuwa mbishe zake ni ngada usikute kashamzibua had mtaro wa takamwili..
 
ni bora kupambana na hari yko kuliko kufanya hiyo kazi,kwanza unaishi maisha ya mashaka na kuwa MTU wa mawenge mda wote .maana ukiona askari unaisi anakufuata ww ni bora kuwa nacho kidogo cha halali kuliko kingi cha wasiwasi.
 
Huyo mwanamke kwanza si ajabu kashanandiwa na huyo mwarabu, ushauri gani huo wa kishetani? Ni bora kidogo chako ch halali kuliko kikubwa cha haramu.
 
Kwanza ningemvua nguo fastaaaaa nimuinamishe nifanye uchunguzi wa kindaki ndaki kuchunguza Kama Huyo mwarabu hajashambulia TiGo yake
 
Huyo mke ana tamaa za kijinga na jamaa awe mwangalifu kwa mkewe..warabu si watu wazuri hadi kumwambia mwanamke kuwa mbishe zake ni ngada usikute kashamzibua had mtaro wa takamwili..
Akidakwa huko ndio bye bye... hawatamuachia
 
Maana mke hata uolewe na billionaire lazima uwe na chanzo chako cha pesa
 
Jamaa akubali deal ila yeye awe msindimizaji na huyo dada ndiyo abebe huo mzigo wa muarabu.
 
Huyo Muarab mjanja anataka ambebeshe mzigo jamaa alafu amchome kwa polisi kisha abaki na mke wa jamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom