Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wandugu najiuliza sana hivi lile jamaa ambalo line mgegeda mama dangote 1.nikweli linampenda au ndo linefuata hela za show 2.nikitaka kumgegeda mama dangote ndo nitatoka kimaisha 3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina mpenzi wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1 tulivyoenda likizo amebadilka sana hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae basi SMS tano mwisho anasema kazi nyingi. Tulivyorudi likizo...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Kuna wanaume wengi sana wanaamini ya kwamba pesa ndio kila kitu katika mapenzi, Hii hali imekua tofauti sana kwangu na ni mara nyingi marafiki na ndugu zangu nimekuwa nnikiwaacha midomo wazi pale...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, 'Mkubwa hakoselewi' huu usemi jamani nampenda sanaa mama yangu lakini kuna vitu naona havipo sawa nimewahi kujarbu kumwambia kama mtoto lakini anabadilika kidg baade anarudi kule...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
habari zenu wadau, je umewahi kulala siku moja ukaota unafanya mapenzi usingizini? je umewahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke ambae humjui ( hujawahi kumuona katika maisha ya kila siku) ? je...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wanajamvi naomba maoni yenu maana naona hoja ya idadi ya watoto siku hizi imepamba moto sana. Kila mtu anataka watoto kadhaa mwingine mmoja, mwingine watatu, mwingine wanne nk. Je ipi ni idadi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna kitambo sana tangu nitingane na mwanamke niliyezaa nae, sasa nowdays kumekuwa na tumawazo twa kutamani kuwa na mtu wangu ila sio wale niliowahi kuwa nao najitakia mpya, charming, anajua kazi...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Nimezaa na kaka mmoja (Muhindi) mwanzo nilipata amani kabla sijazaa nikiwa na mimba ya miezi 8 ndio aliamua kuondoka bila taarifa na kuniachia mzigo mkubwa wa kulea mimba na mpaka mtoto...
3 Reactions
113 Replies
9K Views
Ndugu wana JF, Nimeona nilete uzi huu kwenu, Unakuta mdada ni mrembo tena anavutia ila sasa upande wa pili ni mchafu kupindukia. Simaanishi uchafu wa mwili la asha. Yani unakuta labda kaja...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi wapendwa, Inaniuma sana, nilikuwa na msichana mmoja mkali baraa yaani mzuri sana (kisu) hatari lakini kwa sasa siko naye tena. Mimi naishi nyumbani lakini yule msichana...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Habari za majukumu wakuu wenzangu. Jamani sijui niseme ni wivu kupitiliza au mashetani yanamsumbua siku moja nilichelewa kurudi nyumbani ikafika saa tatu usiku ndo nikarudi nyumbani ilihali si...
3 Reactions
77 Replies
6K Views
Habari wadau, Leo nmeona niwashirikishe hili kidgo juu ya tendo la "ngono" nmetumia neno ngono kwasababu ninajua ningesema neno tendo "la Ndoa" Siku hizi sio wote wanaofanya "kwichkwich"...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Ni kwamba nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi ambaye hatukuwa na malengo ya kuja kuishi wote na kila mmoja alijua hilo lakini tukiwa ndani ya mahusiano aliniambia ni mjamzito na hakutaka...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Mpendwa rafiki! ( nikukumbushe); Mwaka 2013 tukifanya kazi Katika ofisi ya umma jijini Dar Es salaam , tulipangiwa kazi maalumu kwa muda katika mkoa mmojawapo kanda ya Kati,hivyo ikatulazimu...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa Mimi nina boyfriend wangu tuna miaka mitatu sasa mwanzoni tulipendana sana ila sasa hivi mwenzangu kabadilika kawa muongo Alinisaliti nikamsamehe ila bado ananisaliti...
2 Reactions
160 Replies
18K Views
Kuna dada nilijalibu kuomba usajiri kwake eti ananiambia ameokoka anamtegemea Yesu mala oh! Ridhiki lake lipo ila sio mimi nikamuuliza kwa hiyo una bikra? akasema hana mh!! Namimi sikuchoka...
7 Reactions
251 Replies
20K Views
Huyu girl sina malengo nae, hata jamaa hana malengo just kupita tu. Ananitumia mm nimpe mawasiliano ya uyu girl bila kujua kua nimeshapita. Nawaza nimwambie ukweli kabla ya kumuunganisha au...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Mambo vp wanaJF. Wakati tunamalizia siku ya wanawake duniani napenda kuwa pongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana Jamvi, Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana. Hamad...
9 Reactions
336 Replies
27K Views
Wanawake bhana mnashangaza kwa hizo tamaa zenu Tangu nijiunge FB mwaka 2009 na kuwa na marafiki kadhaa wa kike na kiume Miongoni mwao hasa wadada hawakuwahi kucomment wala kulike picha yangu...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Back
Top Bottom