kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,163
- 1,214
Mpendwa rafiki! ( nikukumbushe);
Siku moja katika maongezi yetu ya jioni uliniambia kuwa umepata "mtoto mkali" kutoka kanda ya ziwa baada ya kujichanganya kwa kukupigia simu akidhani ni anampigia mjomba wake aliekuwa akiishi Dar pia.Kwa mujibu wako yule binti alikupigia akijitambulisha Kama alikuwa anaongea na mjomba wake . Ulitaka kujua ulikuwa unaongea na Nani kisha binti alijitambulisha ndipo ulipobainisha kuwa hukuwa wewe Bali amekosea namba . Pamoja na mambo mengine ulikiri kuvutiwa sana na sauti ya Yule binti lakini akachukulia poa kwa siku hiyo ,binti alirudia kukupigia simu kesho yake muda Kama huo huo na ulimwambia maneno yale yale yakuwa aangalie vizuri namba amekosea Kwani wewe sio mjomba ake.
Baada ya kuona jambo hili linajirudia ndipo ulipoamua kusave number yake kwa lengo la kutaka kujua Kama alikuwa anatumia WhatsApp ili uanze njia ya kufanya nae ukaribu hasa baada ya kuona kuna picha gani ktk profile yake. kwa mujibu wa maelezo yoko ni kuwa ulivutiwa sana na picha uliyoiona kwenye profile yake bila kujari Kama ni yeye au la! Ulisema alikuwa mrembo kweli kweli,tangu hapo ukaamua kesho yake umpigie simu, kitendo hicho kilikuwa cha kila siku na mpaka unanisimulia ilikuwa yapata Kama wiki mbili mkiwasiliana.
Mlianza kutumiana picha mbalimbali pamoja na video kupitia mitandao ya kijamii na kumpigiana simu za video(video call), mwishowe mkakubaliana binti aje kukutembelea, japo ilionekana ni vigumu kwani nyumbani kwao wasingelimruhusu kwenda Safari wasizozijua, ndipo akawa na wazo la kuaga kuwa anakwenda kumsalimia mjomba wake huko Dar kisha apitie hapo kanda ya kati Kama siku mbili wakati wa kwenda na siku mbili wakati wa kurudi mpate fulsa ya kuwa wote.
Nakumbuka ilikuwa ni miezi ya kibaridi kama kipindi hiki mwaka 2014 ndipo ulioponiambia kuwa mrembo atakuja baada ya week moja kukutembelea ulitamani sana kukutananae haraka zaidi lakini haikuwezekana kutokana na hali ya nyumbani kwao,Basi siku zilisogea na ikabaki siku mbili kabla ya kufika kwake ,Ilikuwa Jumatano moja tulipoenda ofisini ulipoambiwa kesho yake unahitajika ofisini Dar kwa siku tatu kwani kuna kazi za kufanya kisha unarudi na Kama utaweza kuimaliza mapema utarudi mapema. Nakumbuka alinyongonyea sana kwani kesho yake ndo siku ya mrembo wako alipaswa kuja kukutembelea , hakuonabudi kwenda kwani kazi ilikuwa ni mhimu kuliko kumsubiri mrembo. Tuliporudi hotel tulipanga huyo binti mrembo akifika nimchukulie chumba hotel nyingine nimhudumie mpaka pale atakaporudi baada ya siku tatu,Tulishauriana usimwambie kwanza kuwa utakwenda Dar mpaka atakapokuwa tayari amepanda gari kusudi asijeakaghahiri kuja. Kesho yake wakati upo njiani unaelekea Dar ndipo ulipompigia simu yule binti na kumueleza kuwa umepata dharula unamekwenda Dar hivyo atapokelewa na Mimi rafiki yako na ulimtumia number yangu ya simu.
Ilipofika saa moja usiku nilisogea stand kumpokea shemeji yangu,alikwishanipigia simu kunijulisha amevaaje hivyo haikuwa vigumu kumtambua .Alikuwa kavaa jinsi ya blue na tshirt nyeusi nilimpokea na kuingia kwenye tax kisha tukaelekea hotel.wakati wote tukiwa pamoja nae tunaelekea hotel alikuwa akiongea na mpenzi wake ambae ni wewe. Kiukweli binti alikuwa mzuri nikisema alikuwa mzuri naomba mnielewe ! Kwani mara tu nilipomuona mawazo mabaya yaliniingia kichwani mwangu ya kuwa nikuhujumu rafiki yangu kwani nilishindwa kuvumilia kabisa kazi ikawa nifanyeje timing gani kukuzaidi Kete,baadae nkajipa moyo nkajisemea yanini kumsaliti jamaa na rafiki yangu kwa mambo ya kupita!!. Niliamua kukaa nae mbali na wala sikurudi hotelini kule baada ya kumpeleka kwa siku zipatazo tatu.
Baada ya siku mbili kupita ,nakumbuka ulinipigia simu ukinitaharifu kuwa kazi zimekuwa nyingi hivyo unategemea kuwepo Dar siku nyingine mbili zaidi ili umalizie kazi ulizopewa ,tuliongea mengi kuhusu yule msichana mrembo nikampa Sifa kedekede kwani alikuwa kajaliwa kweli kweli. Ulilalamika sana kuwa kazi imekukatiri huku ukitamani umwambie yule binti akufate Dar lakini mwishowe kwa kushahuriana kumuacha mpaka utakaporudi .
Siku moja kabla haujarudi yule binti alinipigia simu akaniomba nikitoka kazini nimpitie pale hotelini kwake ili nimsindikize sehemu akatafute chakula , maana chakula alichopenda kula kwa siku hiyo hakikupatikana ktk hile hotel alipofikia,ni kwa ruhusa yako mliniomba nimsikize hoteli mojawapo ili aweze kupata chakula hali akitamani kutoka nje aone mandhari ya mji pia.
Nilipofika reception nikamtaharifu kuwa nimefika ajitahidi kuwahi twende na turudi haraka .Alinisihi niende chumbani kwake kuna kitu alitaka anionyeshe kabla ya kuondoka,nilipiga moyokonde nika gonga chumbani kwake na akanikaribisha kwenye kochi dogo .Akaingia bafuni akiwa amevalia kawaida ,akarudishia mlango wa kioo kisicho angaza upande mmoja,mimi huku nikiendelea kuangalia tv nkijua anamalizia kujipodoa,Mara nkasikia maji yamefunguliwa mtu Kama anaoga,Kisha mlango wa bafuni ukafunguliwa kuangalia shemeji kavaa kanga tu na nguo alizokwenda nazo bafuni kaziacha huko,mara akaanza kuinama kwenye ki-dressing table akichukua mafuta kujipaka kuona hivyo mapigo ya moyo yakabadirika nikaamisha macho kutoka kwenye tv nkaelekeza kwake muda wote tupo kimya tu,nkaamua kuvunja ukimya kwa kumwambia shemeji kumbe unaniambia nkupitie wakati hujajitayarisha? ,alinijibu namalizia kuvaa shemeji tuondoke. Kisha akaniuliza hivi huyu jamaa yako anarudi lini mimi nataka kuondoka bwana nimemsubiri sana,Kama ametingwa na kazi aniruhusu niende ntakuja siku nyingine. Nilimwambia najua unarudi kesho yake,akacheka kisha akasema sidhani maana kila siku anarudi kesho ,sijui kesho kwake haifiki!?,wakati wote huo tukiongea huku mapigo yapo speed sana ,nkaamua kuondoka nimsubiri reception , niliposimama tu mzee wa kazi alikuwa anakaribia kuvunja gereza. Nilisogea kutoka kwenye kochi na kuelekea kwenye mlango ili nitoke ,lakini ilinipite mlangoni ilikuwa lazima nipite karibu yake alipokuwa anaandaa nguo zake kuvaa ,wakati nilipo simama kuaga kuwa anikute reception nae alianza Safari ya kunifuata nilipo hivyo tulikutana katikati ghafla nilishutukia amenidandia kifuani huku anatweta,tulitupana kitandani inaonekana alikuwa na ukame mkubwa,,, kilichotokea sina haja ya kusimulia.
Siku hiyo sikurudi hotelin kwangu nililala hapo ,tukafanya yetu tulilidhishana tukapatana kama vile kila mtu alikuwa akiusubiri muda huo ufike binafsi niliridhika ,nikafuta memory za wapenzi wangu wote nikasema hasante Mungu huyu ni mwanamnke niliekuwa nikimhitaji katika maisha yangu,nilikurupuka saa 12 asubuhi kuelekea hotelin kubadiri nguo kisha nikaenda ofisini.kamchezo kalianzia hapo na bahati mbaya kesho yake haukurudi ndipo tukapanga mpango wa hujuma kuwa akupigie simu kukutaharifu kuwa kesho anarudi kwao kwani kapigiwa simu kuwa mama yake anaumwa sana kwa hiyo hawataonana na wewe kwani ni lazima arudi kumuuguza mama kwanza akipona atarudi kumtembelea, nakumbuka ulimsihi sana kwani wakati mnaongea tulikuwa wote, mwisho ukakubari kwa shingo upande . Ilikubidi Umtumie pesa ya nauri na matumizi .kisha Nilimuhamisha hotel tukaendelea kula raha. Ata baada ya wewe kurudi .
Binti alikaa pale siku tatu zaidi kisha nikamsafirisha akarudi kwao huku ukilalamika Kuwa hapatikani na kila ukijaribu kumtafuta kwa njia za mitandao ya kijamii nako hukupata mawasiliano nae, ulihaha sana kutafuta jinsi ya kumpata tena,nilikuwa nawasiliana nae kwa Siri kubwa na tukiwa tunatumia number nyingine mpya ,kwa umakini mkubwa sikuweza kuongea nae tukiwa wote niliogopa usije akag'amua sauti yake. Mapenzi yetu yalikuwa moto .Tumeoana mwaka 2015 Tumezaa watoto 2 .
Ingawa tulihamishwa kikazi mwaka mmoja baadae (tulipopelekwa mikoa tofauti) , na nkasikia baadae ulikwenda masomoni huko ng'ambo, ulikuwa ndo mwisho wa kuwasiliana nawe,naamini wewe bado ni rafiki yangu .nilijaribu kwa muda sasa kukutafuta sijafanikiwa Mpaka Leo na sijajua ulipo kwa sasa.najua hujui nini kilitokea Kati yangu na huyo binti na hajui kama mimi ndie chanzo cha kupotezana na binti aliempenda , Binafsi nawiwa kukuomba radhi rafiki yangu japo naona ni vigumu kukueleza ni kiasi gani nampenda mke wangu . najua kwanjia moja au nyingine ujumbe huu unaweza kukufikia huko uliko " niwieradhi rafiki yangu" najua hujaoa ( Kama umeoa itakuwa vizuri) nadhani huyu hakuwa mkeo bali Mungu alikufanya kuwa chombo(njia) ya mimi rafiki yako mkumpata mke mwema na asante sana kumpata mke mzuri kupitia kwako.
Natafuta njia yakukufikia na bilashaka utanisamehe na urafiki wetu uendelee ,karibu nyumbani tupate kahawa ,umsalimie pia shemeji yako.

Siku hiyo sikurudi hotelin kwangu nililala hapo ,tukafanya yetu tulilidhishana tukapatana kama vile kila mtu alikuwa akiusubiri muda huo ufike binafsi niliridhika ,nikafuta memory za wapenzi wangu wote nikasema hasante Mungu huyu ni mwanamnke niliekuwa nikimhitaji katika maisha yangu,nilikurupuka saa 12 asubuhi kuelekea hotelin kubadiri nguo kisha nikaenda ofisini.kamchezo kalianzia hapo na bahati mbaya kesho yake haukurudi ndipo tukapanga mpango wa hujuma kuwa akupigie simu kukutaharifu kuwa kesho anarudi kwao kwani kapigiwa simu kuwa mama yake anaumwa sana kwa hiyo hamtaonana na wewe kwani ni lazima arudi kumuuguza mama kwanza akipona atarudi kumtembelea, nakumbuka ulimsihi sana kwani wakati mnaongea tulikuwa wote, mwisho ukakubari kwa shingo upande . ulimtumia pesa ya nauri na matumizi . Nilimuhamisha hotel tukaendelea kula raha. Ata baada ya wewe kurudi .
Binti alikaa pale siku tatu zaidi kisha nikamsafirisha akarudi kwao bila wewe kujua, ulilalamika Kuwa hapatikani na kila ukijaribu kumtafuta kwa njia za mitandao ya kijamii nako hukupata mawasiliano nae, ulihaha sana kutafuta jinsi ya kumpata tena,nilikuwa nawasiliana nae kwa Siri kubwa na tukiwa tunatumia number nyingine mpya ,kwa umakini mkubwa sikuweza kuongea nae tukiwa wote niliogopa usije akag'amua sauti yake. Mapenzi yetu yalikuwa moto .Tumeoana mwaka 2015 Tumezaa watoto 2 .
Ingawa tulihamishwa kikazi mwaka mmoja baadae ( mikoa tofauti) , na nkasikia baadae ulikwenda masomoni huko ng'ambo, ulikuwa ndo mwisho wa kuwasiliana nawe,naamini wewe bado ni rafiki yangu .nilijaribu kwa muda sasa kukutafuta sijafanikiwa kukupata mpaka Leo na sijajua ulipo kwa sasa.najua hujui nini kilitokea Kati yangu na huyo binti na hajui kama mimi ndie chanzo cha kupotezana na binti aliempenda , Binafsi nawiwa kukuomba radhi rafiki yangu japo naona ni vigumu kukueleza ni kiasi gani nampenda mke wangu . najua kwanjia moja au nyingine ujumbe huu unaweza kukufikia huko uliko " niwieradhi rafiki yangu" najua hujaoa ( Kama umeoa itakuwa vizuri) nidahiri huyu hakuwa mkeo bali Mungu alikufanya kuwa chombo(njia) ya mimi rafiki yako mkumpata mke mwema na asante sana kupitia kwako najiamini kusema nina mke mzuri kupitia kwako.
Natafuta njia yakukufikia na popoteulipo kama utapata ujumbe huu nitafute swahiba wangu tukae kiume tuyajenge na urafiki wetu uendelee ,karibu nyumbani tupate kahawa ,umsalimie shemeji yako.
Mwaka 2013 tukifanya kazi Katika ofisi ya umma jijini Dar Es salaam , tulipangiwa kazi maalumu kwa muda katika mkoa mmojawapo kanda ya Kati,hivyo ikatulazimu kuhamia huko kwa muda wa miezi 8,
Kwa muda huo wote wakati tupo huko tulikuwa tunakaa Hotel mpaka tulipomaliza kazi zetu na kurudi katika kituo chetu cha kazi huko Dar.
Kama ujuavyo ujana ni maji ya moto wakati wote tukiwepo huko tulikuwa tukijivinjali mara kadhaa na mabinti tofauti ingawa mwenzangu ulikuwa ni mtundu sana kwa maana ulikuwa unabadirisha mara nyingi kuliko mimi