Habari wakuu,
'Mkubwa hakoselewi' huu usemi jamani nampenda sanaa mama yangu lakini kuna vitu naona havipo sawa nimewahi kujarbu kumwambia kama mtoto lakini anabadilika kidg baade anarudi kule kule.
Inshort ni hivi, Mama yangu hupenda kwenda kwa hawa watu anawaita 'wataalamu', hata sie watoto zake alishawahi kutupeleka na kwa shida mbali mbali mfano mimi nina matatizo ya masikio, yani sisikii vizuri sasa kuna siku alinipeleka tu mahali huyo mwanamke ni shoga yake kwakweli nilibutwaaa masikio ile siku naambiwa natolewa vitu vibaya watu hawanipendi wameniwekea madude masikioni, na akahidi kesho yake nitaaamka vyema maana hvyo vitu havitakiwepo.
Kesho yake asubuhi mama ananiulza vipi, nikamjbu nipo kawaida tu, kesho yake tena akaniulza nikamkajibu mimi naona nipo kawaida cha zaidi masikio yanaumaaa tu kwa kuvutwa, nilimuona kama kakasirika ananiambia sijui upoje wewe na mengine akaanza kuongea ongea huku anakwendaa so sikuwa namuelewa anaongea nini (mama yangu ana tabia ya kununua hasa akipata jibu tofauti na fikra zake)
Pia ana mashoga zake ambao humtambulisha kwa hao wanaitwa wataalmu, na yeye hutambulisha shoga zake wengine au ndugu zake kwa hao wataalamu kinachoniuma ni, hawa watu wote hukaa na kumsema tena haswa ndugu zake hawaogopi kumsema mbele yetu sisi watoto wake na wengne hudiriki kumwambia hata mzee, utasikia 'yani namshangaa mama fulani kwa kwenda kwa.....' mie naumia na mara nyingi namrudia na kumwambia au nikiona hata stori za watu kuadhirika kuhusu mama na wataalaamu namhadithia lakini naona imekua bureee.
Kuna mdogo wa mama wa mwisho, yeye anatumia kisomo kutibu, ameanza mwaka jana baada ya kufeli shule mara kadhaa na kuamua kujikita huko nikamfata siku kumuuliza, mjomba vipi mbona haumshauri mama aachane na haya mambo instead tuwe tunasoma duaa tu, nilichoelewa kutoka kwa jibu la mjomba ni kua mama hamuamini ndugu yake.
Lakini cha ajabu na kushangaza kuna siku huko nyuma mdogowangu wa kike yupo chuo alimwambia mama, mimi nikisoma nasahau nikiingia kwenye mtihani nasahau basi aliletewa kijana na msichana mmoja hivi yupo hapa mtaani nae anasoma dua ana tumajin majini eti, nilimsikia tu anasoma Alhamdu sana sanaa na mengine sijui alikua anaongea vinini, mama akaambiwa wenzie wanamrogaaa huyoo mmoja analala kitanda cha pembeni yake sijui bla bla nini huko akampa dawa akanyunyuzie huko hostel.
Alivyoondoka nikamuulza dogo kule mabibo mnalala dabo dabo na huyo wa pembeni yako unamjua ni nani? Ohh simjuii nikamwambia basi acha hii nenda kasome ukisoma omba mungu usisahau tena.
Kwakweli kuna mengii sanaa mama yangu husema yeye anaota like kuna siku aliota anamcharaza mke mwenzie, mara kuna mbaba mmoja hivi(inna lillah waina illah rajiun) alikua anasema anamuota kaja usiku kampigaaa yule mbabu akija asubuhi anamuulza mama jana uliona panya, na huyu mzee alkua ni swahiba wa mama kipindi cha uhai wake na alikua mjumbe ikafika kipindi mama akaachiwa ujumbe yeye, ila tuligoma hiyo kazi mimi na baba lakini hakutusikilzaa ikabidi tumuachee tu.
Sasa hivi kawa mjumbe msaidizi hana anachokipataa zaidi ya stress, pia amekua mmoja wa watu wa baraza huko serikali ya mtaa anasema analipwa 8000 kwa mwezi, ukijaribu kumuelekeza haelewi naelewa maelewano yao na baba sio mazuri, na baba anaumwa( anaumwa moyo na alipatwa stroke 2014) hali yake sii mbayaa wala nzuri sana.
Mara nyingi baba hukaa dodoma maana ndo shm yake ya kazi lkn nna imani baba yangu ni muelewa na anaelewa ukimueleza vizr mipango yako. Shida ipo kwa mama, nmekua nikmsihi mwambie baba akupatie pesa uanze biasharaa anajbu sina shda na hela zake yy si hataki kunsaidia kisa mm yatima amsaidie huyo mkeww mwengne (baba kaoa wake wawil) ukitaka mwambie ww mtt wake, mm nshawahi kumueleza baba akasema nilshampa pesa mama yako sijui imeenda wapi.
Anyways, mimi nimechoka yani nmechoma na maswahibu yao wamekua wakigombana kama watoto kila siku, na mimi nimekua threat kwa mama, siku baba akiwepo nyumbani hua nina pata taabu maana naambiea mie mtoto wa baba, najua baba sio mkamilifu nayy anakosea sana lkn mama ni ana ukali na mbishi mbishi kuna siku aliwah kunipiga na mwiko adi kunichana mkononi, baba hakusema kitu niliumia kwakweli.
kuna mengne mengii adi ilifika stage nkaamua tu sika naondoka nmechoka kelele na kila kitu nyumba haina masikilzano, nilkaa 2days bila kuwasha simu siku nawasha baba tu ndo ananitafuta na watu wengne kama mdg wangu na mjomba, na hapo mdogo wangu anasema ''mama alisema hakutafuti wala nini, utajijua mwenyewe ulipo'' nikaamua kurudi mwenyewe tu kwa hiari maana najua mama ana stress tu za maisha, na nyumban mara nyingi tupo wawili mimi na yeye.
Naombeni ushauri jaman ni jinsi gani mama yangu ataweza kuachana na hayaa mambo, maana tangu juzi nasikia harufu zile tenaa na juzi alikuja mdogo wake wa kike wakawa wanaonge plan zao za ''yani usijali tafuta hata elfu10 upate zile dawa nyingne utamalzia'' nadhan wameenda huko maana jion kachemsha na kujfukiza.
Sijui ndo anatafuta ulinzi kwa hii biashara ya vikokoto/vileja tuliyoianza maana kiukwel najtahdi kutafta shmza kuziuza lkn atanikatisha tamaa akiendelea hivi maana naamini Mungu hachanganywi, yy anaswali na pia huenda kwa wataalamu, kitu ambacho sikielewi ad ss, naambiwa najifanya mzungu mf nikipewa hzo dawa ninywe huwa siwezi mana ni chungu ama zinakeraa so hua nagoma kunywaa ''utasikia unajishaua nakwambia hyi dawa lazima unywee haya mapoz yako ka mfilipino sitaki'' .
Naombeni ushauri ama muongozo kwakweli nimechoka natamani kua huru nisiwaze haya mambo maana nimemaliza chuo na bado natafuta kazi ama shughuli yoyote niweze kusimama kimaisha.
NB:mtanisamehe jamani kuhadithia vizuri siwezi but nimejitahidi hivyohvyo kuyatoa ya moyoni mwangu.