Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Masikini mimi tamuuuuu nishakuwa ki-ben ten kama si ki- Ben five (5). Sielew nimeangukia huku kivipi?
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Naitwa David nipo Kahama Shinyanga, natafuta mwanamke wa kuoa awe maji ya kunde na awe tayari kuoana na kuanza kukuza uchumi nilio nao.Awe Tabora Shinyanga,mwanza,kigoma,singida.anipate kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ugumu wa maisha umepelekea ndoa nyingi sana kusambaratika kirahisi sana. Watu wanaachana kirahisi sana bila kujali wana watoto au laa! Leo kuna mwanamke kamkimbia jamaa yangu wakati wameshazaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu na wana jamii forums, nina maswali machache ambayo yanaitaji Msaada... Ni malengo gani mke mchawi anaweza kuwa nayo? Maana kama ananiloga nisifanikiwe kwenye ajira yangu na yeye...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau nipo majukumu yamebana sijapost mda sasa...back to topic Kuna rafiki yangu wa karibu sana alianzisha mahusiano na mwanamke wakiwa chuo kikuu UDSM sio chuo cha kata(sorry kwa waliokwazika...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
UMEKUWA MPWEKE NA UNATAMANI KUTONGOZWA ILI UWE NA MTU FANYA MAMBO HAYA! (1) Jiamini Na Jikubali Hivyo Hivyo Ulivyo; Hii ndiyo hatua ya kwanza kabisa, ujiambie wewe kuwa ni mzuri na unaweza kupata...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mpenzi wangu wa siku nyingi japo ananikubali sana mimi sina time nae namchukulia kama kiraka tu cha kumalizia sumu yangu. Jana kaja geto kunisalimia baada ya stori tukaingia kwa match round ya...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
My dear fellow professionals (lawyers/ Advocates), specifically male lawyers/ Advocates ... ni nini mmewafanyanya wanawake wa kitanzania kiasi cha kunikosesesha mimi your fellow learned brother a...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari wana JF, heri ya sikukuu ya muungano, Kitambo hatujajuliana hali humu ndani. Pengine ni mihangaiko ya Dunia. Basi bila kupoteza muda tuanze na mada tajwa hapo juu. Tukianzia kitabu cha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mdada mzuri, lakini mdomo unanuka khaaaaaaa, yaaan huwa nachoka ,,, Nimekutana na kadhia hii Mara nyingi,,, sasa najiuliza inamaaana Hawa viumbe hawajui Kuwa usafi wa kinywa ni muhim pia na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:cool: :cool: :-p :-p
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Aisee msiweke mabango ukitaka kupata mwanamke JF jikoki kisha zama PM oneday utafanikiwa na usikate tamaa. mimi niliweka mabango mpaka nikachoka mwisho nilikuwa nikiweka mabango ya kutania baada...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Habarini za jioni wapendwa ....Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe sana hebu twendeni kwenye hili swali kwa upande wangu naonaga ni tatito sana hasa kwa wanaume. Eeeti kwanini...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
SEHEMU A - KABAMBWA Sherehe ya chakula cha jioni .....kivazi chake kiliukuwa Mask ya uso kwa wote wanaume na wanawake, Mrembo Bella Bunny alionekana amependeza kuliko wote, moyoni alikuwa...
1 Reactions
83 Replies
14K Views
Salam wakuu,Heri ya Muungano/Maandamano Niende kwenye mada Naandika Uzi huu nikiwa siko vizuri sana kimawazo Wiki chache zilizopita nilikutana na binti ana 20 years,nikamtongoza baada ya siku...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Msimu wa joto na kiangazi una madhara katika mahusiano, hii inasababisha mabadiliko katika mwili wa mwanadamu, ili wanawake wakabiliane na joto kali, huwalazimu kuvaa mavazi mepesi na mafupi, hii...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani kuna binti nimetokea kumpenda ila kila nikiingiza gia wamoto balaa kasema riziki yake ipo ila sio mimi cha ajabu kila siku anakuja kukopa hela na amesema nikiendelea kuomba mzigo atamwambia...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Viviane ni msichana mrembo angali kinda bado, anaanza shule ya awali anadiriki kushiriki michezo ya baba na mama, anaendelea kukuwa katika mfumo huo anafikia hatua ya kushiriki na viongozi wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika dhambi mbaya kuliko dhambi zote ni umasikini. Umasikini ni mama wa dhambi zote. Tunaiba kwa sababu ya umasikini. Wengi magerezani wamejaa sababu ya umasikini. Vi Ben10 vinalala Na Bibi zao...
16 Reactions
62 Replies
9K Views
Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya *kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka* pamoja mpaka kifo. Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana *busu* na kukumbatiana wanapopata habari...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom