fahamu tafsiri ya ndoto za mapenzi.

fahamu tafsiri ya ndoto za mapenzi.

Joined
Apr 23, 2018
Posts
8
Reaction score
11
habari zenu wadau,

je umewahi kulala siku moja ukaota unafanya mapenzi usingizini?

je umewahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke ambae humjui ( hujawahi kumuona katika maisha ya kila siku) ?

je nini husababisha ndoto za aina hii?

je umeshwahi kuota unakimbizwa na mnyama usingizini?

hapo kesho nitawapa darasa fupi juu ya hili suala la ndoto na uhusiano wa nafsi, mwili na roho ya mwanadamu anapokua usingizini. usikose..

355a20dc94916b2c7fd1923405f614ed.jpg
 
Niliota ninambomoa msichana fulani ninayemfahamu ila sijamuona kwa muda mrefu maana yuko nje ya mji huu kikazi, kesho nikapata habari zake kuwa amekuja nyumbani kwao kujitazamia..
Nilijiona mjinga sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom