Aliondoka bila kuniaga na kuniacha na mimba na amerudi bila hata kunijulisha. Je, nimtafute?

mayasa saidi

Member
Apr 18, 2018
56
51
Nimezaa na kaka mmoja (Muhindi) mwanzo nilipata amani kabla sijazaa nikiwa na mimba ya miezi 8 ndio aliamua kuondoka bila taarifa na kuniachia mzigo mkubwa wa kulea mimba na mpaka mtoto.

Nikasikia amerudi hajanitafuta mpaka kaondoka tena na sasa hivi amerudi na mwanangu ana mwaka na miezi 2 hivi nimfuate au niachane naye tu.
 
Heading inasema umeamua kumuacha huku kwenye maudhui bado unajishauri??

Dear mayasa kwa mwaka mzima wote huo na miezi 2 ulokua peke yako ulikua unaishije had leo arudi kiroho kikudike dike usijue unapotakakusimama??

Bado unampenda right? Sema na moyo wako jiridhishe kabla hujafanya maamuzi mana hata tukikushauri wewe ndio mtu wa mwisho kuamua

All the best mama.
 
We mswahili unazaa na muhindi.hujui mila zao mkuu pambana na hali yako tu..ila mjurishe kua una mtoto wake vasi
 
Wadada mna kazi sana wakati mwingine hadi huruma yaan!

Mtu kakuvua kyupi ,umepenulia mapaja kajaa mazima hadi mzigo ukatuama tiii- mimba kimyaaa, mtoto kimyaaa ,duh kweli wanaume tuna roho ngumu sana kha!

Huyo ni baba wa mwanenu we mtafute tu japo asalimiane na kiumbe wake akiendelea kukuignore wala usife moyo- kazi ya hukumu ni Mungu Mwenyezi
 
Heading inasema umeamua kumuacha huku kwenye maudhui bado unajishauri??

Dear mayasa kwa mwaka mzima wote huo na miezi 2 ulokua peke yako ulikua unaishije had leo arudi kiroho kikudike dike usijue unapotakakusimama??

Bado unampenda right? Sema na moyo wako jiridhishe kabla hujafanya maamuzi mana hata tukikushauri wewe ndio mtu wa mwisho kuamua

All the best mama.
Hapana mydear moyo wangu ushakufa sinaupendo naye tena ila nilihitaj atunze mwanae tu nimeish kwa kufanya biashara zangu ndogo ndogo mpka leo
 
Nimezaa na kaka mmoja (muhindi) mwanzo nilipata aman kabda sijazaa nikiwa na mimba ya miez8ndio aliamua kuondoka bila taarifa na kuniachia mzigo mkubwa wa kulea mimba na mpka mtoto ,nikasikia amerud hajanitafuta mpka kaondoka tena ,na sasahiv amerud na mwanangu anamwaka na miez2 hivi nimfuate au niachane naye tu
Kichwa cha habari na maelezo yako yanavutaba, kwanza rekebisha kichwa cha habari au badilisha maelezo yako ndo nije na comment yangu.
 
Wadada mna kazi sana wakati mwingine hadi huruma yaan!

Mtu kakuvua kyupi ,umepenulia mapaja kajaa mazima hadi mzigo ukatuama tiii- mimba kimyaaa, mtoto kimyaaa ,duh kweli wanaume tuna roho ngumu sana kha!

Huyo ni baba wa mwanenu we mtafute tu japo asalimiane na kiumbe wake akiendelea kukuignore wala usife moyo- kazi ya hukumu ni Mungu Mwenyezi
Poa asantee
 
Areee... Boni, janti temana nae, wale wanawezana wenyewe kwa wenyewe kuimbiana vi songi vyao kwenye mvua!!! Sum g?
 
Najarbu kujiuza ww n member
Maarufu sana humu why?
Umeogopa kuja na I'd yako
Ya sku zote¶¶

NB: sema na moyo wako
Cz unaonekana Bado unampenda
Na hata huyo akija kukuomba

Msamaha now najua lazma utakubali
So angalia moyo wako unasemaje

Relationship kuna kukoseana
Na kusameheana endapo
Mwenye makosa atakua na sababu
Maalumu za kuomba msamaha.
 
Nimezaa na kaka mmoja (muhindi) mwanzo nilipata aman kabda sijazaa nikiwa na mimba ya miez8ndio aliamua kuondoka bila taarifa na kuniachia mzigo mkubwa wa kulea mimba na mpka mtoto ,nikasikia amerud hajanitafuta mpka kaondoka tena ,na sasahiv amerud na mwanangu anamwaka na miez2 hivi nimfuate au niachane naye tu
Bila shaka utakua Mzanzibar mwenzangu.
 
Back
Top Bottom