Kwanini wadada mnakuwa wachafu kiasi hiki?

Kwanini wadada mnakuwa wachafu kiasi hiki?

tryvenak

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
248
Reaction score
298
Ndugu wana JF,

Nimeona nilete uzi huu kwenu,

Unakuta mdada ni mrembo tena anavutia ila sasa upande wa pili ni mchafu kupindukia. Simaanishi uchafu wa mwili la asha.

Yani unakuta labda kaja kukutembelea ghetto kwa siku kadhaa ila utashangaa ni mtu ambaye yuko careless yani hawezi ata kupiga deki, kuosha vyombo, yani kila kitu kinakuwa ovyo mpaka unakereka.

Na ukijaribu kumuuliza a najifanya anadeka kuwa kachoka na huenda mbali zaidi kuwa muwe mnaenda kula hotelini.

Chonde chonde wadada kama mnavyopendeza njiani tafadhali basi muweze kuwa wasafi hata majumbani kwenu.
 
Ndugu wana Jf nimeona nilete uzi huu kwenu.
Unakuta mdada ni mrembo tena anavutia ila sasa upande wa pili ni mchafu kupindukia. Simaanishi uchafu wa mwili la asha.
Yan unakuta labda kaja kukutembelea ghetto kwa siku kadhaa ila utashangaa ni mtu ambaye yuko careless yan hawez ata kupiga deki, kuosha vyombo, yani kila kitu kinakuwa ovyo mpka unakereka.
Na ukijaribu kumuuliza a najifanya anadeka kuwa kachoka na huenda mbali zaidi kuwa muwe mnaenda kula hotelin.
Chonde Chonde wadada kama mnavyopendeza njian plz bac muweze kuwa wasafi ata majumban kwenu.
Wewe lego lako ni house girl au mchumba.....
 
Kwakweli wabadilike sio poa wanavyofanya
 
Duuu na mimi kuna manka yupo hivyo hivyo yaani wanakela
 
Unapenda wanawake wachafu chunga sana usije kuingia kwenye anga la Demiss utajuta kumfahamu.
 
hawa ndo wale kiswahili wamekijulia shule ya msingi..
Kwakweli maana katika hali ya kawaida mtu anawezaje kuandika et "hunataka humuoe" tone tu haiji huwa nashangaa sana au cjui anatokea mbinga huyu
 
Back
Top Bottom