Natamani kuishi na mwanamke

Natamani kuishi na mwanamke

nandembako

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
655
Reaction score
528
Kuna kitambo sana tangu nitingane na mwanamke niliyezaa nae, sasa nowdays kumekuwa na tumawazo twa kutamani kuwa na mtu wangu ila sio wale niliowahi kuwa nao najitakia mpya, charming, anajua kazi za mke nk.

Unajua vile unajaribu kuimagine halafu unakuta nyumba inapilika kila kona, kingine kilichochangia haya mawazo juzi kati niliumwa yaani automatically mambo yakawa yanapwaya and u see the gape.

I have these feelings for a while now.
 
Kuishi na mwanamke inatakiwa ujitoe ufahamu na upunguze uanaume wako ili uwe mume uendane na hali zao. Ukingangania uanaume utakereka sana na utavuruga ndoa
 
Kuna kitambo sana tangu nitingane na mwanamke niliyezaa nae,sasa nowdays kumekuwa na tumawazo twa kutamani kuwa na mtu wangu,ila sio wale niliowahi kuwa nao najitakia mpya,charming,anajua kazi za mke nk....unajua vile unajaribu kuimagine halafu unakuta nyumba inapilika kila kona,kingine kilichochangia haya mawazo juzi kati niliumwa yaani automatically mambo yakawa yanapwaya and u see the gape......
I have these feelings for a while now.
Unatamani kuishi na mwanamke.... !!!! Nilidhani unautayari wa kuishi na mwanamke....!!! Tamaa hupanda na kushuka....!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom