Poleni na majukumu wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwanamke wangu kipenzi amenasa ujauzito na huu unaenda mwezi wake wa pili. Kuna vitu baadhi nilitaka kueleweshwa kutoka kwenu maana...
Habari za sahizi
Mimi ni binti nina miaka 22 sasa
Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata...
Nimeona imekuwa kawaida sasa Vijana wengi wasanij wa TZ wanaenda kuoa nje ya Tanzania.Binafsi nikawa najiuliza kwanini hawaoi hapa Tz.Je kuwa hapa hakuna warembo? Siko karbu sana na wasanii...
Mimi ni Polisi: Hadi Lindi?
2001
Ndio kwanza nilikuwa nimetoka depo na kupangiwa mkoani Lindi. Maisha kwa kweli yalikuwa magumu. Mkoa ule umekaa kushoto sana. Kitu pekee nilichoona nafuu ni...
Furaha ya mzazi ni kuona watoto wake wamekua wakiwa na afya njema na wameondoka nyumbani wakiwa na vyanzo halali vya mapato.
Tunapokuja kwenye graduations zenu msituone tunapiga vigele gele...
Hello guys
Nimepata chance ya kukaa na watu wa class tofauti tofauti, nime-observe kuwa watu wengi ambao ni matajiri ni wabinafsi pengine kuliko hata watu ambao ni maskini
Matajiri wengi...
Nitazungumzia kidogo kuhusu maisha ya mapenzi pindi mtu unapokuwa Ughaibuni, kwanza kitu cha kwanza unakumbana na upweke wa hali ya juu lakini unaendelea kujifariji kwa kuchati na kidemu fulani...
Habari wana jf,jina natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya dhati,umri wangu ni miaka 36,sina mtoto,wala sijawahi kuoa,sivuti wala kutumia kilevi,nina dgree ya pili,pia nimeajiriwadini...
There is an increasing alertness over the debate about the fluidity of sexuality and sexual orientation all over the world.Why the number of people arguing over sexual identity and fluidity is...
Huyu dada tumekutana nikampenda kwa dhati na nina malengo mazuri na yeye. Nashukuru alinipa ushirikiano hadi sasa tunaendelea kuwasiliana vizuri. Mm kama MTU ambae nimepitia mabinti wengi huko...
Habari ndugu,
Baada ya salaam, nakwenda moja kwa moja kwenye swali, hivi maana halisi ya pete ya ndoa hasa kwa wakristu ni nini?
Swali la pili kwanini wanawake ndio wanaongoza kuonyesha pete zao...
Siku za hivi karibuni mke wangu amekuwa akionyesha tabia za kutojali,mfano,unaweza ukawa kazini ukamtext," hi baby" akajibu "P"
Ukiendelea anapiga kimya hajibu sms,.
Kwa kuwa muda wake wa...
Kuna wanawake wengine nahisi akili zao zipo kwa papuchi sio kichwani kwa kweli. Juzi kati nilimuona binti mmoja mkali kisawasawa nikammezea mate.
Bahati nzuri kuna rafiki yake ni msichana wa...
hili ni Ombi kwa yeyote anaeweza kufadhiri Video ya Nyimbo hii mpya.
Nyimbo siyo ya mapenzi ni Motivation Song,inafaa kusikilizwa kwa lika lote,siyo ya kupoa ni Nyimbo flani hivi inayoelezea...
Habari wanajamvi, Niko Hapa Mbele yenu Nahitaji Kujua Chakula cha Samaki wa Kufugwa Kinauzwaje, Na kinaweza Kuwalisha Samaki hao kwa Muda Gani hadi kiishe?
Kuna utafiti nilikuwa nafanya baada ya kufwatilia baada ya kuona topic nyingi zinazowasema single mother's na wanawake waliofika miaka 30s bila kuolewa.
Nilichokigundua;
1. Wanawake...
Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada na pia niwaombe msaada wa rai na mawazo yenu.
Kuna binti ni mzungumzaji wangu, sasa usiku huu wa leo alinipigia simu akaniambia jambo lililofanya niamue...
Wanawake wengine kua single parent hua wanataka wenyewe huyu binti toka nimefahamiana nae hata miezi 2 haijaisha, nimetoka nae mara moja tu ghafla juzi ananiambia ana mimba ya wiki 2, nikashindwa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa elimu ni degree ni muajiriwa wa Serikali nina watoto watatu wakike 2 wa kiume mmoja.Nilioa bahati mbaya ndoa haikiweza kudumu kutokana na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.