Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,424
Una mke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia lakini bila ya aibu unarudi na shati lenye lipstick. Kwakuwa una guilty conscience unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?

Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako anachukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guiltily conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi ninafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Pole sana mama, samehe. Ila muulize hiyo lipstick imefikaje maungoni kwake?
 
Mwanaume ni kiumbe ambae ana matamanio mnooo!!!yaani akitamani atafanya hata mkewe 99%perfect!
Ni kuwavumilia tuu ndugu yangu!ukitaka wa kwako peke ako labda umbumbe mwenyewe!

Ila huyu wa Sir God tutashea tu!!!
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Matatizo yote haya yanaanzia kwa mwanamke, unaringa ringa kutoa home, unatoa kwa nyodo, jamaa hakati kiu... Anaenda mtaani, anakutana na full vishawishi, full mitego... Ananasa.... Wanawake wenyewe siku ni maji mara moja.....
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Ni hatari hayo mambo.
 
Back
Top Bottom