Duh!!....Kwani kuoa inamuepusha mtu na ukimwi mkuu??!Yote ni matatizo, Ni bora uoe
Kama tamaa zako zote unamalizia kwa mkeo, Unaweza kuepukana na magonjwa hayo.Duh!!....Kwani kuoa inamuepusha mtu na ukimwi mkuu??!
utakuwa na uhakika gani kuwa mke wako ni mwaminifu??.....wewe unaweza kuwa mwaminifu kumbe mke wako anarubuniwa na kuliwa na akina fulani wa JF!!Kama tamaa zako zote unamalizia kwa mkeo, Unaweza kuepukana na magonjwa hayo.
Hilo nalo neno, Pia linawezekana. Lakini ninachoamini ni kwamba ukimtreat vizuri na muwazi kwa mke wako basi 99% hawezi kukusaliti.utakuwa na uhakika gani kuwa mke wako ni mwaminifu??.....wewe unaweza kuwa mwaminifu kumbe mke wako anarubuniwa na kuliwa na akina fulani wa JF!!
Hivi kesho kuna test ya Dr c ndioje hebu naomba ushauri kipo bora kati ya hvi kupiga punyeto ujiepushe na ukimwi au kufanya umalaya alafu upate ukimwi?