Tanzania tubadilishe maana ya Uanaume!

Tanzania tubadilishe maana ya Uanaume!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Ningependa jamii yetu itoe maana mpya ya kuwa Mwanaume, Uanaume upimwe na Mwanaume anayemiliki majukumu ikiwa ni pamoja na kulea kuhudumia Familia yake na isiwe kama ilivyo sasa sijui ulijali mara uume mkubwa au sijui Wanawake wangapi umelelala na ujinga kama huo.

Nina uhakika tukifanikisha hili singo mama watapungua, watoto wa mitaani watapungua, na tutakuwa na jamii bora kwa ujumla, ...
 
Wanaume wa dar nao ni aina nyingine ya wanaume
 
IMG_2795.JPG
 
Minyoosho inaendelea mpaka muache viburi,mfuate maagizo ya mungu na mseme pooo,shwaaiiiniii.

Uzuri wake vita mnapigana na kuangushana kwanza wenyewe,muda ambao wewe unatamani mwanaume akutukuze kwa kumletea ngebe na dharau basi mwanamke mwenzio asiye na liwazo anatamani uzidi kuliharibu ili alijenge upande wake.
 
Wanaume mbona mnahangaika sana, kila mmoja ajisimamie ,fuateni maagizo ya Mungu ya awali kupitia Adam
 
Back
Top Bottom