Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaid ya mwaka 1 na miezi 6 lakin kwasasa kwauchunguz nilio fanya nimegundua anatoka na rafiki angu wakalib, ushauli wakubwa nifanyaje mie na dem namkubali...
Tangu ujielewe umekuwa single. Huna girl friend ama mpenzi yeyote yule. Kuna yule mwanamke jirani yako kila siku unamwona. Unamtamani lakini hutaki kumuapproach. Kiufupi unaishi kiupweke ilhali...
Pombe mbaya sana!
Miaka 6 iliyopita nilikutana na mwanamke mrembo sana. Anawaka na ana wowowo zuri sana mtoto mbichi binti kabisa! Nikamtamani.
Nikapiga sound akajaa ndani ya 18. Nikanunua...
Ilisha kutokea hii. Umeamua kuwa mwana kwaya, Lejio Maria, Utume wa Fatima na kwakua unapenda kusali unaongoza sala.
Wale wa mama wanakupenda kwasababu unasalisha vizuri. Wanaona daughter in law...
Mimi ni mkristo.. Mfano kama mke wangu ni mchawi mshirikina. Ana nichawia Mimi na watoto wangu tena mtoto wa kwanza kamtoa kafara yani ndani maelewano akuna
.
Jenikimuacha nitakuwa nimekosea mana...
KUNA SIKU ILIBAKI KIDOGO NIFULISHWE MASHUKA LODGE
Intro
Mwaka 2011-12 wakati nipo chuoni (DODOMA) nilipata show moja ya kibabe bila kutarajia na ikaanzisha mahusiano ya mapenzi lakn hayakudumu...
Nimepanda nae Daladala muda si punde tu nikiwa katika ziara yangu ' maalum ' ya kuangalia kama ' Maandamano ' jana yalikuwepo Jijini Dar es Salaam au hayakuwepo na kama kawaida yangu popote...
Najua wengi watanishangaa kwanini nimezungumza hivi lakini nimezungumza kwa sababu kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara nyingiii.
Unakutana na binti ambaye anajijua yeye sio bikra na kuna mtu...
Nimejaribu kufuatilia nakufikiria nimegundua Mungu niwaajabu...kwetu sisi wanaume nmeona kwawale maplayboy Mungu amakuonesha jinsi watu wanavoumizwa kupitia hyo tabia yakuwachezea mabinti...
Anatamba hapa kitaa mara "ooh! Namshukuru Mungu amenipa mume anayenipenda kwa dhati. Na ananiheshimu sana"
Wakati akitoa sifa hizo, jambo asilolijua ni kwamba mumewe huwa anatutongoza halafu...
Asha Mohammed mkazi wa Kilungule - Ubungo amemkibia bwana harusi wake Omary Mohamed pamoja na mshenga wake ambao walibaki wamepigwa butwaa!
Akizungumza na Mtanzania, Omary alikiri kukumbana na...
Juzi kati nilikuwa kituo kimoja cha Polisi(jina nalihifadhi),nilienda kufuatilia kesi ya ugomvi kati ya binamu yangu na mkewe,huyu binamu yangu alikuwa amempiga mkewe kwa kuchelewa kurudi...
By Irene Mbowe
AINA YA MWANAMKE ASIYEACHIKA.....
NII HII HAPA.
Anajua mapenzi.
Anajua kusaka pesa.
Anajua madiko na
Anajua Kumtafuta Mungu.
We call it MKE MWEMA.
BALANCE DIET YAKE IMEBALANSIKA...
Habari zenu wadau,
Kwa kweli maisha yangu yanapitia katika kipindi kigumu sana sasa hivi. Mke wangu ameondoka nyumbani na hataki mawasiliano na mimi kisa tu mpenzi wangu wa zamani na fitna zake...
A ni a girl about town. Alianza sexual relationships akiwa na umri wa miaka 16, akiwa na miaka 17 alipata mimba, kwakuwa wazazi wake wanathamni elimu alipelekwa Aghakan Hospital mimba ilitolewa...
Siri mojawapo ya kudumisha upendo kwenye ndoa ni kununuliana zawadi. Zawadi kwa yule mtu unaeishi nae ni rahisi kuifikiria. Angalia kile kitu kinapungua katika maisha yake ya kila siku.
Wanaume...
Ni miaka 12 sasa tangu tulipokutana kwa mara ya kwanza,baada ya urafiki wa miaka 3 nikaamua kumueleza hisia zangu,,akasema mambo ya mapenzi mpaka tumalize shule kwa sasa tuendelee kuwa marafiki...