Wanawake tunapenda wanaume weusi na watoto weupe

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,827
Wanawake sisi bwana.tunapenda sana wanaume weusi.ila mtu akishapata mimba utasikia analalamika sijui mwanangu atakuwa rangi gani? Sijui atakuwa mweusi kama baba yake?
Sasa jamani tunavodate wakurya hawa Mara mablack wa kisukuma tutazaeje watoto weupe?
 
Ukiwa na mwanaume black na unataka mtoto mweupe labda wewe mwanamke uwe mweupe tena ule weupe peeee

Hapo kidogo inaweza ikaja bahati ya kitoto cheupe
 
Back
Top Bottom