Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
.......
Nakuhitajiii popote wee ulipoo. ...
Mimi bado nakupenda.
Kwa karibu miezi 4 nimekuwa natingwa sana na majukumu hivo hata mahabat wangu na pishana nae kama askari kanzu.
Sasa ule msimu wetu wa likizo umekaribia, ndo naandaa mazingira ya vacation hivooo.
Jukumu langu kubwa la mahesabu ya kufunga mwaka nshayamaliza hivo hapa ni mahaba kwa kwenda mbele....
Nikishaanza kumuimbia hivi anarojeeekaaa basi mie aaaghh popote pale nitakapo kupatembelea tunaenda.
Kasie Mahaba Matata.