Wale wa mimba alafu ndo ndoa njoo tupe ushuhuda

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,488
Reaction score
5,372
Kuna baadhi ya wazazi ukishampa mwanae mimba ni lazima umuowe.
Kwa wale walishawahi kutana na hi hali njo tupe hebu ushuhuda vipi ndoa ya hivi zinadumu au zaeleweka.?
Mana wapo wanaosema mimba ni bahati mbaya kwahiyo si sabu ya ndoa.
 
Hamna mimba ya bahat mbaya mkuu!!.

Hata ivo ukifikiria maelezi ya mwanao ,kuja kulelewa either namama tu au Baba mwingine ,nadhan utapata jibu lann ufanye !! .

Lkn pia kumzalisha mdada alafu ukamuacha kuna mambo unakua umepotezea napia unafanya aanze kuishi ktk bahati.

Mimi naamin ukimpa mimba mwanamke ,muoe ..labda awe unajua nimagumashi, bangi nyingi, aeleweki , mimba yenyewe alishajarb kutoa...waivo unamuacha tu ,ila matumizi muhimu kwa damu yako.
 
Sometimes Unakuwaga na akili wewe...duh!
 
Utampaje mtu mimba alafu umkimbie??

Ulikua unategemea nini unapofanya mapenzi na mwanamke??

Suluhisho ni kuoa tu hata kama ni kwa lazima!!

Ni ushauri tu kama unaona bahati mbaya huna uwezo wa kumudu maisha ya ndoa au unahisi mimba ni ya kusingiziwa unaweza achana nae kwa mda

Wakati unajipa nafasi na mda wa kujipanga na kuhakiki mambo
 
Fanya uchunguzi waliowapa wanawake mimba wakatelekeza kwa hila yaliwapata yapi katika mtiririko wa maisha, fuatilia tu tangu enzi za babu na baba zetu achana na vijana wenzetu, unaweza kupata jibu la kufanya nadhani
 
Kuna baadhi ya wazazi ukishampa mwanae mimba ni lazima umuowe.
Kwa wale walishawahi kutana na hi hali njo tupe hebu ushuhuda vipi ndoa ya hivi zinadumu au zaeleweka.?
Mana wapo wanaosema mimba ni bahati mbaya kwahiyo si sabu ya ndoa.

Achana na mimba za maabala, mimba ni matokeo ya kutiana. Lakn mnaweza kutiana na mimba isitungwe pia.

Mwanaume kichupa kikijaaa hachangui papuchi, hapo ni kupiga ataejilengesha yoyote hadi zile sio type zangu. na hizo ndo mimba za Bahati mbaya.

Kuoa ni pingu za maisha, kila mtu anatamani aishi maisha ya ndoa yenye furaha.

Siwezi ufala huo kulazimishwa kuoa mtu ambaye simtaki kati furaha yangu iko kwingine.
Mtoto siwezi kumkataa lakini kuoa ni makubaliano, ata aje yesu kufungisha iyo ndoa Ntakataaa.

Wanawake ndo wanaoweza kuishi/kuolewa na wanaume ambao hawawapendi lakn sio wanaume.

Wanaume tunaweza kula papuchi ambazo hatuzipendi tena Mara moja kichupa kikiwa kimejaa.

Najua inauma sana kumpa mwanamke mimba zen usimuoe. Hapo namna namna bora aumie yeye lakn mi nifurahi. Kila mtu anastahili kuwa mwenyewe furaha na yeye akatafute furaha yake hukoooo.

Mwisho hua najitahidi kila napoloweka kamba ni wife material ili zikitokea izo mimba za Bahati mbaya kama ni kuoa naoa bila vinyongo.
 
Hamna mimba ya bahat mbaya mkuu!!.

Hata ivo ukifikiria maelezi ya mwanao ,kuja kulelewa either namama tu au Baba mwingine ,nadhan utapata jibu lann ufanye !! .

Lkn pia kumzalisha mdada alafu ukamuacha kuna mambo unakua umepotezea napia unafanya aanze kuishi ktk bahati.

Mimi naamin ukimpa mimba mwanamke ,muoe ..labda awe unajua nimagumashi, bangi nyingi, aeleweki , mimba yenyewe alishajarb kutoa...waivo unamuacha tu ,ila matumizi muhimu kwa damu yako.
Nina mimba yako..nioe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom