Nina dukuduku, busu husababisha mimba?

Nina dukuduku, busu husababisha mimba?

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,836
Reaction score
881
KUNA msichana ninayempenda lakini amenikataa kabisa. kuna siku moja ambayo nilimshawishi hadi akakubali kunibusu...

lakini akanionya kuwa hio haikumaanisha kuwa
amenikubali.

sasa anadai ana mimba na anadai ni yangu. kwani jamani busu husababisha mimba? nawasilisha
 
Unauliza au [emoji23]
 
Busu la Yuda Iskarioti lilileta mimba ya mauti kwa YESU Na mimba ya ukombozi kwa ulimwengu wote
 
Jamani wee si una miaka 9 huja fanya tendo la ngono wewe. Na si ni wewe unayetamani kubeba mimba uvunje rekodi duniani kama sio Africa ya mwanamme kubeba mimba!!!!
huu ni uzi mpya
 
Back
Top Bottom