Upendo ni kutoa

Upendo ni kutoa

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,858
Watu wengi wamekuwa wakilalamikia returning ya kile wanachokitoa kwa wenzi wao. wengi wanaoongoza kulalamika ni wanaume. Utakuta mwanaume anademand kupendwa kwa sababu tu anaoffer nguo, vinywaji, outing n.k. Kwa kuoffer hivyo wanaume wanahisi wanayo haki ya kunyenyekewa na wengine huenda mbali zaidi kwa kutaka kuabudiwa.

Kitu pekee ambacho wanaume wanapaswa kujua ni kuwa upendo ni kutoa na kutoa kuliko thabiti ni kule kunakofanywa na mtu bila kutegemea chochote kama malipo ya alichokitoa. ikiwa wanaume wataishi kwa mawazo haya hakutakuwa na kulia lia kwenye mitandao.

Kwa wakristo tutakubaliana kuwa YESU alikuja kufa kwa ajili ya wenye dhambi. Kilichomsukuma Yesu kufa ni upendo wenye tafsiri ya kutoa, hakusubiri returning ya kile alichokifanya. Mara baada kukamilisha mission yake akasepa zake. Ishu ikabaki kwetu ukitaka utampenda ukitaka unampuuza pia.

Ikiwa tutaamua kupenda bila sababu na kutotegemea returning kwa upendo tulioutoa kwa wenzi wetu. Chochote kilicho kidogo watakachotupatia kitakuwa na maana kubwa kwani kimetolewa bili sisi kukidemand
 
Upendo ni 'Two way traffic' penda unapopendwa...

Thamani unapothaminiwa... mmoja asiwe mtumwa au muhanga wa kutoa tu pasipo kurudishiwa...

Na mpokeaji asiwe mnufaika wa kupokea tu na kufaidi pasipo kurudisha...

Cc: mahondaw
 
Watu wengi wamekuwa wakilalamikia returning ya kile wanachokitoa kwa wenzi wao. wengi wanaoongoza kulalamika ni wanaume. Utakuta mwanaume anademand kupendwa kwa sababu tu anaoffer nguo, vinywaji, outing n.k. Kwa kuoffer hivyo wanaume wanahisi wanayo haki ya kunyenyekewa na wengine huenda mbali zaidi kwa kutaka kuabudiwa.

Kitu pekee ambacho wanaume wanapaswa kujua ni kuwa upendo ni kutoa na kutoa kuliko thabiti ni kule kunakofanywa na mtu bila kutegemea chochote kama malipo ya alichokitoa. ikiwa wanaume wataishi kwa mawazo haya hakutakuwa na kulia lia kwenye mitandao.

Kwa wakristo tutakubaliana kuwa YESU alikuja kufa kwa ajili ya wenye dhambi. Kilichomsukuma Yesu kufa ni upendo wenye tafsiri ya kutoa, hakusubiri returning ya kile alichokifanya. Mara baada kukamilisha mission yake akasepa zake. Ishu ikabaki kwetu ukitaka utampenda ukitaka unampuuza pia.

Ikiwa tutaamua kupenda bila sababu na kutotegemea returning kwa upendo tulioutoa kwa wenzi wetu. Chochote kilicho kidogo watakachotupatia kitakuwa na maana kubwa kwani kimetolewa bili sisi kukidemand
Waweza kutoa bila kupenda,lakini kamwe huwezi kupenda bila kutoa. Upendo hauhesabu chochote kizuri au kibaya,upendo upo tu huvumilia yote na kukubali yote.
 
Watu wengi wamekuwa wakilalamikia returning ya kile wanachokitoa kwa wenzi wao. wengi wanaoongoza kulalamika ni wanaume. Utakuta mwanaume anademand kupendwa kwa sababu tu anaoffer nguo, vinywaji, outing n.k. Kwa kuoffer hivyo wanaume wanahisi wanayo haki ya kunyenyekewa na wengine huenda mbali zaidi kwa kutaka kuabudiwa.

Kitu pekee ambacho wanaume wanapaswa kujua ni kuwa upendo ni kutoa na kutoa kuliko thabiti ni kule kunakofanywa na mtu bila kutegemea chochote kama malipo ya alichokitoa. ikiwa wanaume wataishi kwa mawazo haya hakutakuwa na kulia lia kwenye mitandao.

Kwa wakristo tutakubaliana kuwa YESU alikuja kufa kwa ajili ya wenye dhambi. Kilichomsukuma Yesu kufa ni upendo wenye tafsiri ya kutoa, hakusubiri returning ya kile alichokifanya. Mara baada kukamilisha mission yake akasepa zake. Ishu ikabaki kwetu ukitaka utampenda ukitaka unampuuza pia.

Ikiwa tutaamua kupenda bila sababu na kutotegemea returning kwa upendo tulioutoa kwa wenzi wetu. Chochote kilicho kidogo watakachotupatia kitakuwa na maana kubwa kwani kimetolewa bili sisi kukidemand
Exactly na una feel good kutoa. unafeel like ni jukumu lako. Tatizo ni pale mtu unaye mpenda unaona kabisa amegeuka kuwa mjasiriamali, yaaninyeye amekugeuza saccos, wazi wazi bila aibu usipomtimizia unaona ananuna,gubu, mapenzi yanapungua , unaona kabisa mwanamke uliyekutana nae mara ya kwanza amebadilika.

Hapa ndio wanaume wanalalamika regardless vipato vyao. Kuna haja ya upande wa pili kudhamini mihangaiko ya mpenz wake ili kujua nini afanye ili ule moyo wa kutoa usivunjike.
 
Upendo ni kusalimisha kila kilichochako kwa unayempenda.

Upo tayari ufe mama apone? upo tayari upoteze mdogo wako apate? kwangu huo ndiyo upendo.

upo tayari udhalilike ila sio mkeo au mwanao? kwangu huo ndiyo upendo.
 
Shikamoo baba angu mie
 
Basi kama ni hivyo, na nyie wapeni bila kudemand ngoma iwe droo.

Muone mtakavyochakazwa daadeqi. Toeni tu na nyie.😀😀

The safest thing a woman can do to protect her dignity is to live within her means. Be content with the depth of her pocket and stand for what she believes in.
 
Upendo ni kusalimisha kila kilichochako kwa unayempenda.

Upo tayari ufe mama apone? upo tayari upoteze mdogo wako apate? kwangu huo ndiyo upendo.

upo tayari udhalilike ila sio mkeo au mwanao? kwangu huo ndiyo upendo.
Uzi wako umefutwa?
 
Back
Top Bottom