MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,836
- 881
NIMEOA na mke wangu tuna miaka miwili ni mjamzito. Tangu awe katika hali hiyo tumekuwa tukigombana karibu kila siku kwa mambo yasiyo na maana, kusema kweli ananiudhi na ninatamani nimwache niende mbali na upeo wa macho yake. Labda ndo nitapata furaha ya maisha nikiwa huko yeye akomae tu na maisha yake yaani 50/50 sintamtumia hela ya matumizi atajua mwenyewe atakakoitoa.