Wanawake wengi hawatabiriki kwenye mahusiano

Gulio Blog

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,056
Reaction score
4,124
Unapokuwa na mwanamke usije ukajidanganya kujaribu ata kumuamini pengine ata kama unaona mmefikia hatua nzuri ya kujengeana uaminifu nilichogundua hawa wenzetu huwa wanaweza kutoa maamuzi muda wowote kuvunja penzi bila sababu na hiyo haijalishi penzi limefikia wapi yani hawatabiriki kwa mana hiyo kama wanaume inatubidi tukae mguu nje mguu ndani muda wowote usije ukajisahau nakudhani utapendwa milele lipotokea lakutokea utalia
 
Siku zote nimekuwa nikisema na nitarudia tena. Wanawake wanafanya maamuzi bases on hisia. Yaan hisia zake zitakapo mpeleke ndipo huko huko ataenda. Sisi wanaume tunatumia logic, yaan moja na moja ni mbili.

Wadada wao.wanadhan wanaume tunawaza the same kumbe ndivyo sivyo. Sasa shida ni kwamba wadada wa sasa japo si wote.. inaonyesha ukimuamini tu, tayar anafungua mkucha.. mapenz hupungua kabisa... halii hii hufanya mwanaume achoke na mapenz kuvunjika.

Wadada msisahau nafasi zenu kwenye mahusiano.
 
Ni sahihi
 
Nikupe pole kwa yaliyokufika, halafu wapo wanaume pia japo sio wote hawajitambui, utawapa mapenzi yote ya dunia miuno ya paka chongo kitandani na bado utamwagwa vile vile, hamsarifiki kama majipu ya kwapa
neno kusarifika ni neno ka kiswahili hasa, nilikuwa nalisikia tangu nikiwa mdogo kutoka kwa mama yangu, tangu leo najua wewe ni mswahili, twende pamoja!
 
Siku zote nimekuwa nikisema na nitarudia tena. Wanawake wanafanya maamuzi bases on hisia. Yaan hisia zake zitakapo mpeleke ndipo huko huko ataenda. Sisi wanaume tunatumia logic, yaan moja na moja ni mbili.

Wadada wao.wanadhan wanaume tunawaza the same kumbe ndivyo sivyo. Sasa shida ni kwamba wadada wa sasa japo si wote.. inaonyesha ukimuamini tu, tayar anafungua mkucha.. mapenz hupungua kabisa... halii hii hufanya mwanaume achoke na mapenz kuvunjika.
Wadada msisahau nafasi zenu kwenye mahusiano.
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom