Wa kaka mnaotegemea ukweni kisa mambo mazuri

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,421
Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.

Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote
 
Vijana nao wamechoka kutumia kuni wanataka gesi,tena ambayo kuna mwanaume nyuma ambae ka fight kupata hiyo gesi wao wanaona afuheni,..manyanyaso na dharau haviwezi kuepukika kwa vyovyote vile kama mwanaume hatojiongeza....
Tena wababa wenye pesa wanajeuri ya pesa. Akiwa amekuchoka unaweza kwenda kwenye msiba ukweni ukapewa ungo wa vitunguu uwasaidie wakina mama kuvimenya.
 
Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.

Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote
Kawaida tu hiyo sema umeishi uswahili sana ambako hayo mambo hakunaga Mkuu.
 
Tena wababa wenye pesa wanajeuri ya pesa. Akiwa amekuchoka unaweza kwenda kwenye msiba ukweni ukapewa ungo wa vitunguu uwasaidie wakina mama kuvimenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sky umenchekesha aseee,nimekumbuka kuna mtu yaliwahi kumpata kama hayo ukweni...ni kweli lakini unayosema
 
Wakati story na washkaji zimenoga unasikia unaitwa na baba mkwe, unafika unaambiwa Lori la mkaa limefika ukasaidie kushusha magunia. Wale ulikuwa unapiga nao story wote walileta vyakula msibani ni wewe tu ndiyo ulikwenda kama mwanaume suruali.
 
Tena wababa wenye pesa wanajeuri ya pesa. Akiwa amekuchoka unaweza kwenda kwenye msiba ukweni ukapewa ungo wa vitunguu uwasaidie wakina mama kuvimenya.
[emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] sometime mnachekesha sana.
 
Acha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli

Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
 
Back
Top Bottom